Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kumbe ndo maana huna akili
 
DIY do it yourself... Yes fanya kila kitu mwenyewe, mie ni mmoja wapo wa watu wanapenda fanya kila kitu, naamini hakuna binadamu hawezi fanya kile kitu ambacho mwenzie anaweza fanya ni determination tu, ukiwa mwanaume fanya kila kitu mwenyewe!
Wazungu wengi hupama rangi nyumba zao wemyewe
 
R- initial ya Jina langu
Mbuna - Jina la ukoo wetu.
Nothing else.
Kuna aina fulani ya njiwa pori kule kwetu anaitwa mbuna, huwa haliwi kwa sababu sio mtulivu, anataja kufanana na dudumizi
 
nilifungua microsoft excel maalum kabisa kwa ajili ya kurekodi idadi ya warembo niliowahi kuwaona kiundani kabisa kabisa...

ntafungua m-word baadae kwa ajili ya kuwaandikia barua ya kuwarudia wote kwa pamoja...!

haba na haba huongeza mahaba..
Dahhh!
 
Endelea kupumzika kwa amani mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…