Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
KimarioEs = S - comes from initial name of mine
Mari - last spellings kutoka kwa jina la ukoo
All those make Esmari
Wengine wanajiita Kim
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KimarioEs = S - comes from initial name of mine
Mari - last spellings kutoka kwa jina la ukoo
All those make Esmari
Kimario
Wengine wanajiita Kim
[emoji23]Wangejiita Kima [emoji23]
Kuna MmariKimario
Wengine wanajiita Kim
Hawahawa wanaofanana na ngedere?Wangejiita Kima [emoji23]
🤣🤣🤣Wangejiita Kima [emoji23]
Hivi ukiambiwa kuna mganga anatoka Moshi na mganga mwingine anatoka Sumbawanga, yupi utamuogopa?Nimeaga Moshi
Wa MoshiHivi ukiambiwa kuna mganga anatoka Moshi na mganga mwingine anatoka Sumbawanga, yupi utamuogopa?
Aaagh wapi..!!! 😂 😂 😂 Mimi, na ndiyo maana bango la mganga anayetoka Moshi, ni kama hayapo tu..!! Kitu Swax, Kigoma na hapo Tanga mapenziniWa Moshi
MkuryaNapita...
Kumbe ndo maana huna akili(Lucky) (line)
Lucky= nilipewa na doctor, mama anasema wakati wa kuzaliwa nilitanguliza miguu, it was complicated kujifungua na hakukuwepo mambo ya operation. Maness wa kawaida wote walitoka ikalazimika kuja ma dr kama 5 hivi, (hiyo sehemu huduma za afya zipogo kitambo sio kama huku) hii ishu ya kutanguliza miguu mikono inabaki nyuma mara uje mmoja mwingine ubaki ilikuwa nadra sana. Dr moja alitoka kwenda kufata kifaa wakati wengine wanaendelea anarudi ndo akakuta nishatoka hapo hapo akatoa hilo jina.
HIMARS nani kakwambia mimi Mkurya? Sina kabila mimi.Mkurya
Wazungu wengi hupama rangi nyumba zao wemyeweDIY do it yourself... Yes fanya kila kitu mwenyewe, mie ni mmoja wapo wa watu wanapenda fanya kila kitu, naamini hakuna binadamu hawezi fanya kile kitu ambacho mwenzie anaweza fanya ni determination tu, ukiwa mwanaume fanya kila kitu mwenyewe!
Kuna aina fulani ya njiwa pori kule kwetu anaitwa mbuna, huwa haliwi kwa sababu sio mtulivu, anataja kufanana na dudumiziR- initial ya Jina langu
Mbuna - Jina la ukoo wetu.
Nothing else.
Kama kweli umehisi tu, hongera, ila kama uliona sehemu humu, jifinye masikio yako 😄😄😄😄😄Nimehisi tu labda nimekosea
Kuna ukoo kule kwetu una itwa MmariEs = S - comes from initial name of mine
Mari - last spellings kutoka kwa jina la ukoo
All those make Esmari
Dahhh!nilifungua microsoft excel maalum kabisa kwa ajili ya kurekodi idadi ya warembo niliowahi kuwaona kiundani kabisa kabisa...
ntafungua m-word baadae kwa ajili ya kuwaandikia barua ya kuwarudia wote kwa pamoja...!
haba na haba huongeza mahaba..
Endelea kupumzika kwa amani mpendwa.Mimi jina langu nimelimaanisha..am Gender Sensitive na kweli niko hivyo...na hata nikisajisajili kwa jiana lingine nitakuwa namaanisha. My name suggest who iam ..hata kama ningepata fursa ya kujichagulia jina kwenye jina langu halisi basi ningechagua jina lenye maana...pamoja na hayo I like my real name so much ingawaje halina maana yeyote ya msingi.