Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mimi ni fundi afu mara moja moja nalipuka kama mnyamweI afu nikitembea natembea miondoko ya kimarekani ko watu mtaan huniita bishoo au bitozi
 
Ndio maana nlbadilisha from hopejunior to hope urassa ....hii hope ni tumaini /huwa nina matumaini kwa kitu chochote/changamoto ninachokutana nacho maishani...sikati tamaa
 
Majina mengine humu yanafurahisha sana mpaka unajiulizia aliwaza nini huyu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…