Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

maana ya jina langu ni mtawala ama kiongozi kwa kichagga au kikamba
 
Reactions: BAK
jina ambalo marafiki zangu wa karibu wamezoea kuniita.......
 
Reactions: BAK

hakuna Nabii wa Mwenyezi Mungu, ambaye amefanya ujinga ! Huo ni upotoshwaji, na ndio maana kuna vitabu vina 'mashaka' !
 
Hii ni post nzuri sana, asante sana Bubu. Ni moja kati ya posts nilizozipitia mwanzo hadi mwisho. Ni vizuri kufahamiana.

Nashukuru sana Mkuu.
 

Hongera zako Mkuu kuwa nafuraha kila siku iendayo kwa Mungu ni kitu muhimu sana huongeza maisha yetu hapa duniani kwa kuyafukuza magonjwa mbali mbali yanayoweza kutokea kwa kununanuna.
 
maganga jina la utoto . uongo kwangu mwiko ntasema kweli daima amina mungu nisaidie
 
Tuko wengi wenye kufanana historia

 
Nilipojoin JF hawa watu walikuwa maarufu sana humu kwenye jamvi, wako wapi jamani hawa watu?


nawakumbukia wakongwe kina FMES, Fair Player, Halisi, Mwafrika wa Kike, Game Theory, Saidi Yakubu, Mtanzania, Mzelendo halisi, Kada Mpinzani na wengi wengineo![/QUOTE]
 
Excellent~~~~huwa napenda sana kusoma hadithi za kale,kazi za fasihi kwa ujumla,hilo ilinisaidia sana kuogeza uelewa kwenye kazi za fasihi na mwalimu wangu alikuwa anapenda sana kuniambia excellent pale ninapojibu,ikanijengea mazingira ya kuzoea neno hilo
 
Pelekaroho ni jina langu nililorithi kwa babu yangu ambalo na yeye alipewa na baba yake baada ya kuwa ni mtu wa kupenda saana kulala yaani kupelekaroho
 
Reactions: BAK
Nilikuwa nasoma tu bila kuchangia sasa nimejiunga na jf kama memba na kutumia jina hili kwani hii nchi inahitaji ukombozi hasa dhidi ya mafisadi wanaolindwa na geshi
 
Reactions: BAK
Mimi langu kama linavyojieleza lenyew la kwanza ni langu halisi (blessing) na me ni mwenyewe
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…