Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je hizo ni top definition au umechukua definition ili kupinga maelezo yangu ?

Katika definition zote lazima ukute zile zinazoendana na mtu nimetafiti kwa kutumia watu zaidi ya 20

Point yangu ni kuwa hao jamaa masikhara mengi kuwatilia mkazo. Ila kama umefanya tafiti, bab'kubwa.
 
Kwenye urban dictionary hata wewe unaweza kutoa maelezo yako kuhusu jina so kuna zile top definition zenye like nyingi ndizo sahihi

Not to kill your vibes, ila likes hazimaanishi usahihi wa kitu mitandaoni mkuu. Watu wana-hit that button for several reasons.
 
Hii ni namna ya ushushu katika kujua majina ya watu. Maana ukishataja tafsiri ya jina hawa jamaa wanakwenda kuangalia tayari wanakujua jina lako hata kama umetumia anonymous. Mimi maana ya jina langu ni mzalendo au mwananchi
 
Not to kill your vibes, ila likes hazimaanishi usahihi wa kitu mitandaoni mkuu. Watu wana-hit that button for several reasons.
Uko sahihi ila kati ya hizo reasons moja wapo ni usahihi wa post yenyewe ila kama nilivyosema nimegundua kuwa ni sahihi. Tusiongee sana mengine tuwaachie wataalamu wa numerology na zodiac signs
 
Hii ni namna ya ushushu katika kujua majina ya watu. Maana ukishataja tafsiri ya jina hawa jamaa wanakwenda kuangalia tayari wanakujua jina lako hata kama umetumia anonymous. Mimi maana ya jina langu ni mzalendo au mwananchi
Ukitaja jina moja sidhani kama utajulikana ni nani maana akina Jimmy,Hamidu,Aisha,Rose wapo wengi hata hivyo unaweza kutoa maana ya jina lako tu bila kusema jina lenyewe ni nani
 
Me naitwa shida bint Mateso,kila siku ni MTU wa mikosi,na balaa za kila aina,kwenye maisha nawasindikiza wenzangu.
 
2.Jimmy
A highly attractivee person. Someone who is caring, loving and will always be there for you. any girl would be lucky to be dating a jimmy. also very sexy and erotic. You'll easily fall in love with his personality.
Wacha wee....eeh.
 
Kwa nini mkuu?? Mbona wengine wanajiita Delicious! Lisome vizuri jina lake. Kasema; wala hasemagi No! Umepata??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoto wa kiume kujiita sexy mambo ya ajabu hayo bhn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…