Mtoto wa kiume huwezi jiita eti niko sexy.
Kwa nini mkuu?? Mbona wengine wanajiita Delicious! Lisome vizuri jina lake. Kasema; wala hasemagi No! Umepata??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa kiume huwezi jiita eti niko sexy.
Je hizo ni top definition au umechukua definition ili kupinga maelezo yangu ?
Katika definition zote lazima ukute zile zinazoendana na mtu nimetafiti kwa kutumia watu zaidi ya 20
Kwenye urban dictionary hata wewe unaweza kutoa maelezo yako kuhusu jina so kuna zile top definition zenye like nyingi ndizo sahihiPoint yangu ni kuwa hao jamaa masikhara mengi kuwatilia mkazo. Ila kama umefanya tafiti, bab'kubwa.
Poa jimmyElewa maelezo kuwa ni according to urban dictionary siyo definition yangu
Kwenye urban dictionary hata wewe unaweza kutoa maelezo yako kuhusu jina so kuna zile top definition zenye like nyingi ndizo sahihi
Hii ni namna ya ushushu katika kujua majina ya watu. Maana ukishataja tafsiri ya jina hawa jamaa wanakwenda kuangalia tayari wanakujua jina lako hata kama umetumia anonymous. Mimi maana ya jina langu ni mzalendo au mwananchiZa asubuhi wana-JF
Kila mtu ana jina alilopewa na wazazi na wengine huamua kubadili majina pindi wanapobadili dini. Na wataalamu wanasema jina huwa linaathiri tabia ya mtu,sasa tuambiane je jina lako lina maana gani na linaendana na tabia yako ,?
Mfano jina langu ni Jimmy tabia ya jina hili linaendana nami
According to urban dictionary
1.Jimmy
An amazing person; someone who is always thinking of others before hisself; a person who knows how to cheer people up when they are down. This person usually makes an amazing lover and sexual partner, is always up for kinky and different things. Rarely says no due to somethings strangeness. Extremely funny and outgoing, sweet and passionate. Sarcastic and usually interested in the more subconscious forms of life. He likes to explore and learn new things. Quite simply, he is the shit.
2.Jimmy
A highly attractivee person. Someone who is caring, loving and will always be there for you. any girl would be lucky to be dating a jimmy. also very sexy and erotic. You'll easily fall in love with his personality.
"I wish i could find myself a jimmy, because all other guys are jerks"
[HASHTAG]#amzing[/HASHTAG] [HASHTAG]#sexy[/HASHTAG] [HASHTAG]#hot[/HASHTAG] [HASHTAG]#loving[/HASHTAG] [HASHTAG]#caring[/HASHTAG] [HASHTAG]#sweet[/HASHTAG] [HASHTAG]#sensitive[/HASHTAG]
by EM<3sYou April 30, 2009
Tuambie maana ya jina lako na kama bado huna mtoto ni vyema ukamchagulia jina zuri litakaloathiri tabia zake vyema
Uko sahihi ila kati ya hizo reasons moja wapo ni usahihi wa post yenyewe ila kama nilivyosema nimegundua kuwa ni sahihi. Tusiongee sana mengine tuwaachie wataalamu wa numerology na zodiac signsNot to kill your vibes, ila likes hazimaanishi usahihi wa kitu mitandaoni mkuu. Watu wana-hit that button for several reasons.
Ukitaja jina moja sidhani kama utajulikana ni nani maana akina Jimmy,Hamidu,Aisha,Rose wapo wengi hata hivyo unaweza kutoa maana ya jina lako tu bila kusema jina lenyewe ni naniHii ni namna ya ushushu katika kujua majina ya watu. Maana ukishataja tafsiri ya jina hawa jamaa wanakwenda kuangalia tayari wanakujua jina lako hata kama umetumia anonymous. Mimi maana ya jina langu ni mzalendo au mwananchi
Ina mana unaishi dunia ya peke yako hukutani na watu?Hahahahaha sina lengo la kutoa tangazo maana si rahisi mtu yoyote kukutana na mm. Lengo ni kujua athari za majina yetu na kujua umuhimu wa kuchaģua majina sahihi
Wacha wee....eeh.2.Jimmy
A highly attractivee person. Someone who is caring, loving and will always be there for you. any girl would be lucky to be dating a jimmy. also very sexy and erotic. You'll easily fall in love with his personality.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoto wa kiume kujiita sexy mambo ya ajabu hayo bhnKwa nini mkuu?? Mbona wengine wanajiita Delicious! Lisome vizuri jina lake. Kasema; wala hasemagi No! Umepata??
Seriously unless uwe delicious ani ubwabwaMtoto wa kiume huwezi jiita eti niko sexy.
Ko hao urban wangekuambia we delicious ungekubali tuuu kisa urban wamesema????Elewa maelezo kuwa ni according to urban dictionary siyo definition yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoto wa kiume kujiita sexy mambo ya ajabu hayo bhn