Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Bora umemwambia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mie ID yangu imetokana nyota yangu ya simba
 
ngailo jina la ukoo nkaona nilibrand social media zote iwe rahisi kupatikana....kwe profile picture hilo jogoo nilikua nalipenda sana nakumbuka maza alinipa kazi ya kuchinja mwaka 2011 so nkaona nilipesifa stahiki kama FARU JOHN🙂🙂🙂
 
wakati najifunza kuongea niko mdogo sikuwa naweza kuita jina la uncle wangu Karama na tulikuwa tunapatana sana nikawa namwita Tamama basi yeye mpaka kesho akiniona pamoja na utu uzima wangu ananiita Tamama
 
Yangu ni siri nikikukwambia tu! Imekula kwangu nitakuwa nimejulikana na umma Wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…