Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Karrythas,

My real name,

Karry.....beloved,
Thas.....generous[emoji6]
 
Reactions: BAK
Mwadunda means Big and Strong Man whom ever defeated.
 
"Raphael wa Ureno" hili jina nimelitumia kukumbuka jamaa yangu wa Ureno.

Tulikula nae mihogo sana ila sasa hivi tunashukuru MUNGU mambo sio mabaya

Kila la kheri Raphael wa Ureno
 
Reactions: BAK
Ladyfurahia wakati wote ni kufurahi uwe kwenye huzuni au furaha wewe furahi kwani kunakuongezea siku za uhai na wingi wa siku
 
Clkey
CL - Herufi za jina la mwanangu
Key- ni herufi ya mwanzo wa jina langu la ukoo
 
Langu ni Dada mmoja alikua na watoto watatu mumewe alimuacha akapambana baadae akashinda bahat nasibu akawa tajir na akaolewa na MTU ampendaye.lipo kwa tamthilia ya husband for hire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…