Kivipi mkuuWe mi nakuonaga mpaka nakinai
Yaani nmezoea kukuona kwenye thread nyingi nnakukubar sana sijakukinai kimajungu LA hasha yaani nshakuzoea kukuona huku Hata mm natumia humu kuliko kule kwa warembo insta na fesibuku mkuuKivipi mkuu
Poa poa mkuuYaani nmezoea kukuona kwenye thread nyingi nnakukubar sana sijakukinai kimajungu LA hasha yaani nshakuzoea kukuona huku Hata mm natumia humu kuliko kule kwa warembo insta na fesibuku mkuu
JF forever mi nkiamka2 naanza na jf kwanzaPoa poa mkuu
Huko Insta hata post zangu sijui kama zinafika tano, mara nyingi napata notification za followers lakini hata sina muda nazo.
Huku ndio mpango mzima
π³ π³ vipi mkuu, after 8yrs bado una mtizamo huu? π πARSENE WENGER -nimechoka sana kuumiza kichwa kwenye mambo ya siasa na niko huku kwenye michezo kwani stress ni ndogo na hili jina la wenger natumia kutokana na philosophy za huyu mzee kwenye soccer.he is a real coach.
Hata mimi mkuuJF forever mi nkiamka2 naanza na jf kwanza
Mkuu si unaona na jina nimelitupilia mbali.π³ π³ vipi mkuu, after 8yrs bado una mtizamo huu? π π
I seeMy real name..
TrueNot tru..
Sasa na bado unaendelea kijichoresha..Previous sijawa Gentries nilikua naitwa Mondray ambalo ni jina langu nililigeuza, nilipewa na demu wangu chuoni nikaona najichoresha huku maana nalitumia sehem nyingi.
Gentries ni jina la msanii kutoka Arusha ninamkubali sana kwa wimbo wake Gentries ft Young D _ Chapaa.
Unaimba hv "Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu"