Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Tafasiri ya jina langu kwanza napenda kula pili nakula sana tatu ni bingwa wa kuropoka nne usiku huna nakoroma sanaa na naskia ukiwa umelala alafu unakoroma eti wachawi na wanga wanakimbia hawaji kukukaba
 
Yaani nmezoea kukuona kwenye thread nyingi nnakukubar sana sijakukinai kimajungu LA hasha yaani nshakuzoea kukuona huku Hata mm natumia humu kuliko kule kwa warembo insta na fesibuku mkuu
Poa poa mkuu

Huko Insta hata post zangu sijui kama zinafika tano, mara nyingi napata notification za followers lakini hata sina muda nazo.

Huku ndio mpango mzima
 
Mndengestani linamaana Mndengereko hili ni kabila pekee ninalopatikana ktk wilaya ya Rufiji ,Kibiti Mafia na Mkuranga pia wapo ktk jiji la Dar es saalam hasa ktk wilaya ya Temeke
 
Mimi ni nakubali kukosolewa, na kujifunza nisiyoyajua, ndo mqqna NI MJINGA MZURI. (aheri ya mjinga kulikoni mpimbavu)
4a389d43a66ee498d7389ed59b622d1a.jpg
 
Previous sijawa Gentries nilikua naitwa Mondray ambalo ni jina langu nililigeuza, nilipewa na demu wangu chuoni nikaona najichoresha huku maana nalitumia sehem nyingi.

Gentries ni jina la msanii kutoka Arusha ninamkubali sana kwa wimbo wake Gentries ft Young D _ Chapaa.
Unaimba hv "Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu"
 
hili jina linahakisi(reflect) maisha yangu..young,wild and free
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Previous sijawa Gentries nilikua naitwa Mondray ambalo ni jina langu nililigeuza, nilipewa na demu wangu chuoni nikaona najichoresha huku maana nalitumia sehem nyingi.

Gentries ni jina la msanii kutoka Arusha ninamkubali sana kwa wimbo wake Gentries ft Young D _ Chapaa.
Unaimba hv "Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu"
Sasa na bado unaendelea kijichoresha..
 
Back
Top Bottom