General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Umeme gani?umeme mkuu
Mimi kwa kweli ni Historia ndefu sana.
majumbani mkuuUmeme gani?
Njoo uniroge mkuuKila Giza likiingia kwangu ndiyo pamekucha.
Ni mwendo wa kuroga tuu
Na jina la Muhenga kijana je?Mbao za Mawe Jina hili nililitumia kwa sababu Mbao za Mawe hata uzigonge msumari ni kazi bure hata uzipige randa utakuwa unasumbua akili yako.
Ili kuepuka usumbufu wote huo unatakiwa ufuate misingi ya hizi mbao ili uweze kuzitumia (Urefu na upana) itakubidi upana wako na urefu wa kazi yako ufuate kipimo kilichopo kwenye mbao na sio mbao za mawe zifuate vipimo vyako.
Mbao hizi pia hazipatikani kiholela na hata ubebaji wake ni shughuli kubwa kwani lazima uwe na nguvu za kubeba mbao hizi.
mod mpigeni ban huyu lofa anaandika utumbo tu Na miwani yake kama fundi mchomelea vyumaNi jina langu halisi...
Mimi na wewe nani kaandik utumbo?mod mpigeni ban huyu lofa anaandika utumbo tu Na miwani yake kama fundi mchomelea vyuma
Tukutane usiku.Njoo uniroge mkuu
we umeandika utumbo mm maini.Mimi na wewe nani kaandik utumbo?
Mhenga Kijana liliondoka likaja hili la Mbao za Mawe.Na jina la Muhenga kijana je?
Baadae now naenda kupiga tiziwe umeandika utumbo mm maini.
Sio kweli[emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yangu haihusiani na chochote
tizi la nini kiongozBaadae now naenda kupiga tizi
we ni mhaya au mnyarwanda?Ni jina langu halisi...