Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mbao za Mawe Jina hili nililitumia kwa sababu Mbao za Mawe hata uzigonge msumari ni kazi bure hata uzipige randa utakuwa unasumbua akili yako.

Ili kuepuka usumbufu wote huo unatakiwa ufuate misingi ya hizi mbao ili uweze kuzitumia (Urefu na upana) itakubidi upana wako na urefu wa kazi yako ufuate kipimo kilichopo kwenye mbao na sio mbao za mawe zifuate vipimo vyako.

Mbao hizi pia hazipatikani kiholela na hata ubebaji wake ni shughuli kubwa kwani lazima uwe na nguvu za kubeba mbao hizi.
Na jina la Muhenga kijana je?
 
Nani asiyemjua genius was ulimwengu Leonardo da Vinci?
Napenda alivyokua anavipawa vingi Na uwezo mkubwa was akili. mm napenda niwe najua vitu vingiiiii kila sekta najitahidi kufuata nyendo zake huyo jamaa japo sitamfikia hats theruthi hi is my role model.
 
toka nipo Jf is mebadir jina Mara 3. kila jina nililo badir lina historian yake.
>>Mondray
nilipewa Na demi flani chuoni aligeuza kutoka jina halisi.
nilitumia sana Chitchat Na MMU Na makapuku forum.
>>Gentries
Hili nililitoa kwa msaanii toka arusha alimva wimbo unaitwaa Chapaa.
"Bado kunahabari kinga haimalizi hamu, bado kunahatar mpenzi ukimwacha Na hamu. hii niliitumia kusaka maduu Jf Na kutania watu

baaada ya kufanya utumbo wote humu ukafika muda was mimi kutoa Yale niliyonayo kichwani ndo nikajisajili as davinci
 
Back
Top Bottom