Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Tunatumia ID fake hapa JF ili kuficha uhalisia wetu(ukiacha verified users),ila naamini hiyo ID unayoitumia haujaichagua kwa bahati mbaya lazma itakuwa na maana kubwa kwako.

Mfano mimi Chinga One nimejiita hivi kwa kuwa nimetokea Mtwara hata Avator yangu ni alama kubwa ya mkoa wa Mtwara ukifika viwanja vya Mashujaa utaikuta hiyo Sanamu,lakini pia nimejiita hilo jina kwa kuwa nilikuwa karibu sana na Straika hatari sana Mohamed Hussein Daima Mmachinga (Chinga One) enzi za utotoni.....Je wewe hiyo ID yako ina maana gani?
Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote? - JamiiForums
 
The one who is all Goddess ISIS!
Yes, roho yake iko kwangu milele walahi!
That’s all
 
Mbao za Mawe Jina hili nililitumia kwa sababu Mbao za Mawe hata uzigonge msumari ni kazi bure hata uzipige randa utakuwa unasumbua akili yako.

Ili kuepuka usumbufu wote huo unatakiwa ufuate misingi ya hizi mbao ili uweze kuzitumia (Urefu na upana) itakubidi upana wako na urefu wa kazi yako ufuate kipimo kilichopo kwenye mbao na sio mbao za mawe zifuate vipimo vyako.

Mbao hizi pia hazipatikani kiholela na hata ubebaji wake ni shughuli kubwa kwani lazima uwe na nguvu za kubeba mbao hizi.
Nimekuelewa sana
 
Awww my gawwdd baba vickkkyy..a mishyuu jjooo muchh...muahh[emoji8][emoji8]how's swalehe doing jamanii,..?!(in mumu's voice)[emoji7][emoji16]
He is doing fine ... He talks about you every day dear ... But vicky is npt well tonslittis are disturbing her apprehensively
 
Jina langu linaendana na muonekano wa ubonge niliokuwa nao kipindi naichezea team fulani ya ma under17,kwenye team hiyo nilikuwa captain. Sasa kutokana na umahiri wangu wa kumiliki soka uwanjani kila mtu akawa ananiita captain kibonge. Jina langu halisi lilikuwa gumu kutamka hivyo liliwafanya watu wengi waniite hili jina ninalo litumia hapa JF.
 
Back
Top Bottom