Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mkuu ushafika OT kweli kwenye stadium tour!!..
Kitambo kidogo mkuu,enzi za ujunior huko,leo uniambie niende OT kutoka tz ni ghali saana kwa gharama binafsi,tho ukishafika UK km laki 2 utafanya tour vizuri,ila hapo bila kuangalia mechi,labda kwny tv za restaurant
 
He is doing fine ... He talks about you every day dear ... But vicky is npt well tonslittis are disturbing her apprehensively
[emoji23][emoji23]aahh Darling... Ntakujibu nikiwa[emoji482][emoji482]ila pole kwa my mshwityy Vickie.. Nampendaa mwambie aunti ake atakuja kumuona veeeeryy soon..
 
Man utd damuni since way back

Kutokana na kuipenda sana man u
Wana wakawa wana penda niita mzee wa big G aka Fergie kuondoka kwa fergie na ujio mpya wa Moyes at OLd trafford i decided to name myself moyes kipind iko na yeye ndo katoka kukabidhiwa team baada ya hapo kilicho baki ni story....
Kati ya watu wanaotamani kubadili majina ni wewe hapo. Mods msaidie jamaa
 
Nilikua napenda series ya "Designated Survivor" ya Kiefer Sutherland, almaarufu kama Jack Bauer aliyejipatia jina kupitia series ya 24.
 
Mm niliuliza another name for shoulder joint ni lipi!!? It was during oral examination ya anatomy enzi nikiwa first year...nilisahau jibu kisa kupanik kumbe n glenohumeral joint...ndio mpk Leo Niko HV na sisahau tena,chezea temp ya oral ww...unaweza jisahau hata jina
Ha ha haaa...anatomy shida....m nakumbuka atlanto-axial
 
kama m mkuu niliwwka password ya jina langu Na la dem tumeacgana toka April 2017 kuandika pasodi hua naona kinyaaaa...
though so kwa I'd hii
Password yangu ya MPesa etc. ni code ya jina langu na la mwanamke nliyeachana nae 2012.
 
I am Bless nime identify jina langu halisi which is (Bless), niweke jina fake namuogopa nani? Mi namuogopa Mungu tu,
 
toka nipo Jf is mebadir jina Mara 3. kila jina nililo badir lina historian yake.
>>Mondray
nilipewa Na demi flani chuoni aligeuza kutoka jina halisi.
nilitumia sana Chitchat Na MMU Na makapuku forum.
>>Gentries
Hili nililitoa kwa msaanii toka arusha alimva wimbo unaitwaa Chapaa.
"Bado kunahabari kinga haimalizi hamu, bado kunahatar mpenzi ukimwacha Na hamu. hii niliitumia kusaka maduu Jf Na kutania watu

baaada ya kufanya utumbo wote humu ukafika muda was mimi kutoa Yale niliyonayo kichwani ndo nikajisajili as davinci
Kumbe jamaa wewe ndio zilikua ID zako hizo? Nikajiaga labda hao jamaa wameachana na JF kumbe watu mnabadili ID juu kwa juu
 
Sina Kinyongo na MTU, sina makuu ni MTU wa watu ni SWAHIBA wa kila Aliye Mwema..1992..(92)Nilifunga Ndoa, Nikampata mwenzi wa maisha..
Nilidhan utasema ndo mwaka uliozaliwa kumbe ndo uliingia kwenye chama la wana
 
Back
Top Bottom