Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Niko chuo kikuu nachukuwa electrical engineering ndipo nilipokutana na hesabu za huyu jamaa, Laplace Transforms differential equations. That:-

Given f(t) and g(t) then,

L{af(t)+bg(t)}=aF(s)+bG(s)L{af(t)+bg(t)}=aF(s)+bG(s)

for any constants aa and bb.
 
Mie nimejiita Mbwa dume kwa kumuenzi marehemu mbwa wa nyumbani aliyefariki mwaka 2011 kwa kupigwa risasi na majambazi baada ya kuwazidi nguvu walipotaka kuvamia duka la jirani yetu
 
Niko chuo kikuu nachukuwa electrical engineering ndipo nilipokutana na hesabu za huyu jamaa, Laplace Transforms differential equations. That:-

Given f(t) and g(t) then,

L{af(t)+bg(t)}=aF(s)+bG(s)L{af(t)+bg(t)}=aF(s)+bG(s)

for any constants aa and bb.
ha ha ha ha
 
Concoo ni Jina langu la utani nlipokuwa mdogo sana nlikuwa bonge so nlikuwa nkiwatambia watoto wenzangu kuwa mimi ni "CONCOOO" so nlipokuwa ndugu zangu wengi hunikumbushia sana uo utani....Na uyo dogo anayetoka chozi hapo kwenye avatar anaexpress uvumilivu na confidence nliyonayo kwa Mungu wangu despite pain,good bad and worse....yote yapo kwa ajili ya kunijenga katika utukufu mkubwa zaidi ya huu!!
 
Kutokana na wembamba wangu wenye kilo nyingi wakaniita Heavy Weight

Mtu Mzito
Heavy Weight
 
Back
Top Bottom