Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Dah..mimi niko nyuma sana kwa kweli!
 
Jina langu linaashiria kwamba mimi ni kijana kweli tena alozaliwa mhula wa mwisho wa Rais Mwinyi ila tu nilianza ujasiriamali nikiwa mdogo maana mama yangu alitangulia mbele za haki kipindi cha mkapa.

Nawapenda sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njopino ni jina la muhusika mkuu kwenye riwaya yangu niliyoianza kuitunga na kuiandika kwenye pc yangu mwaka 2014 na ilipofika 2017 ilibaki sura moja ya mwisho nikamilishe kitabu kizima pc ikazima gafra nilivyopeleka kwa fundi akafuta kila kitu pc ikawa empt Hadi ile riwaya, niliumia sana, sikuwa hata na hard copy ya ile riwaya nikavunjika moyo sikuiandika tena, nikabaki na jina tu humu jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji839]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah pole mkuu...rewind the idea uandike tena japo haitakuwa kama ile ya kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…