Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Usijali sitakufanyia hivo tena....sipendi upate tabu ujueSiku nykngine usinfanyie Ivo napata tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali sitakufanyia hivo tena....sipendi upate tabu ujueSiku nykngine usinfanyie Ivo napata tabu sana
Mmhhh wajua tabu yangu kwako Ipo wapi
mmmh hata sijui hebu niume sikio nijueMmhhh wajua tabu yangu kwako Ipo wapi
Tamanio langu nishakuambia toka kitambo bidada.. pitia jumbe zangu.
Tamanio langu nishakuambia toka kitambo bidada.. pitia jumbe zangu.
Hapo kwenye niume etii nimesoma mume
verified User...! Moderator nendeni mitamboni.Mimi hii ID yangu ni jina langu halisi, "I am Bless" tafsiri yake mimi ni Bless, "Bless" ni jina langu la kuzaliwa nililopewa na mama, na nimeamua kutumia jina hili pia kama ID yangu humu Jf,
Asante kwa ushauri, ila shida kubwa ni hiyo nisiwe tena na hamu ya kukaa nyuma ya key board tena kaz haitoweza kuwa kama ya mara ya kwanza.Dah pole mkuu...rewind the idea uandike tena japo haitakuwa kama ile ya kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu Mtoto wa BabaAlishalala usingizi wa milele
Jaribu mkuu kama kitu ulikuwa na idea nacho usikubali kipotee hivi hiviAsante kwa ushauri, ila shida kubwa ni hiyo nisiwe tena na hamu ya kukaa nyuma ya key board tena kaz haitoweza kuwa kama ya mara ya kwanza.
Sawa, nitajitaidi niifanye upya hiyo kaziJaribu mkuu kama kitu ulikuwa na idea nacho usikubali kipotee hivi hivi
Zinaweza zisifanane lakini utakuwa umeifanyia idea yako kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Njopino ni jina la muhusika mkuu kwenye riwaya yangu niliyoianza kuitunga na kuiandika kwenye pc yangu mwaka 2014 na ilipofika 2017 ilibaki sura moja ya mwisho nikamilishe kitabu kizima pc ikazima gafra nilivyopeleka kwa fundi akafuta kila kitu pc ikawa empt Hadi ile riwaya, niliumia sana, sikuwa hata na hard copy ya ile riwaya nikavunjika moyo sikuiandika tena, nikabaki na jina tu humu jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Demiss tafadhali njoo utuambie asili ya Jina lako mrembo wa DOMmjambaji na Mjambishaji njooni huku mtuelezee mnavyojambishana
Asante mkuu MimiKijana
Pole Sana mkuu,Asili ya jina langu ni wakati nafikiria kujiunga rasmi jamii forum 2017 niliugua, nikaenda hosipitali nikapewa dawa, kilichotokea baada ya kutumia dawa ile dawa ikaniletea madhara makubwa sana kuliko tatizo lililokuwa linanisumbua, daktari akaniambia ni adverse effect ya dawa, na hapo ndipo nilipoacha kutumia dawa na nikatumia adverse effect kama ID wakati naendelea kutaabika na madhara yaliyosababishwa na dawa niliyotumis.
Sent using Jamii Forums mobile app