Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

britanicca ni jina nililopewa nikiwa shuleni maana kila kitu niliulizwa mimi na kutoa majibu sahihi au yanayoelekea ukweli 90%
Niliitwa encyclopedia pindi wabishanapo wanasema tusubiri encyclopedia yetu yaan mimi, mpaka jina likashika

Jina Nilitakiwa kuliandika Britannica lakin nikabadili nikaita britanicca
Vipi sasa hivi unafanya kazi google mkuu?

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom