Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kipindi naanza mwaka wa kwanza UD nilipangiwa hostel Mabibo, sasa kwny issue ya misosi wengi huwa wananunua nje ya hostel`s cafe
Sasa huko nje wanafunzi wengi walikimbilia kwa7bu ya ujazo wa msosi kwa baadhi ya wauza msosi tukiita `Kifusi` bi maana ya uwingi wa msosi, kwa nnavyopenda kula chakula kingi nikavutiwa asa kuna mmama mmoja yeye bana ndo anazidisha hicho kifusi nae anaitwa `Mama Kifusi` basi tukazoena na huyo mama, kipindi hicho ndo najiunga na JF basi nikaona isiwe shida acha niwe

`kifusi boy`
 
Mama wajina wangu majina yetu yanafanana
 
Rangi yangu, black person =kaffir

Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
 
Chongoe ,in samaki mkubwa baharini ,ilikuwa siku moja tulipoenda kuvua samaki ,nyavu kubwa siku hiyo kwa bahati mbaya akanasa chongoe tulijuta kuwa wavuvi sababu atapoenda nasisi tumefata alaikuwa anatuburuza ,ikawa ndani ya jahazi tafarani wengine wanatoa USIA ,ingali hajulikani anaepokea USIA atapona au mtoa USIA ,baada dakika kana arobaini chongoe akakata nyavu lakini kipindi hicho tushafika mafia eneo linaitwa nyororo ,tukarudi kwetu koma kisiwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahekalu ya Lugumi
 

Kuna thread nyingi za namna hii, wakati mwingine unaangalia tu.
 
Hivyo ni bora pia mkuu

Kabisa, maana unakuta unarudia rudia.

Halafu wanaoanzisha threads hata hawafanyi jitihada za kuwaza kwamba thread kama hii ipo au la?

Mwingine unakuta anajua ipo ila anataka kuanzisha ya kwake.
 
Mi langu sina ufafanuzi zaidi,Mwaka wa 15 nimeshindwa kuoa automatically nimeota usugu ktk hili suala.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Binafsi ni mpenzi wa old school music, Nonchalant ni msanii wa kike wa marekani, moja ya nyimbo yake nzuri ni 5 O'clock ambayo naipenda sana! Biti ya 5 O'clock ni kali mno, ilinifanya kipindi fulani nilijifunza kuproduce beats. Nonchalant alikua mkali wa mashairi, nyimbo yake nyingine nzuri ni Until the day! Lakini pia maana nyingine ya nonchalant is "behaving in a calm manner, often in a way that suggests you are not interested or do not care"
Hiyo ndiyo asili ya ID yangu.
 
Chief sam,kwanza ni jina la babu alikuw chief.vile vile kuna jamaa namkubali sana alikuw mchizi wao kina professor Jay enzi hizo H.B.C iko hot katajwa sana kwenye nyimbo zao so mambo yake na yangu naona yana meet long time sana yupo Europe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee hiyo honda click naipataje? mi cmoney ni aka ya jina langu si-mon na huyo jogoo alikua wa hom siku naanda id ndo nkaambiwa nkammchinje miaka kama 8 hiv nyuma huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…