sajorsergiosjanic
Member
- Mar 4, 2019
- 49
- 49
Official
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UchidachiAsili ya jina langu ni Ntwara, ila inategemea ntu na ntu
Mama wajina wangu majina yetu yanafananaRajkapool
R=rajabu (babangu)
A=aman(jina langu)
J= johari(mamangu)
K= kasimu(mdogoangu)
P= Paul (my only friend)
O= ozil (my favorite player)
O= om shanti om ( my favorite [emoji1128] movie)
L=Leila (my woman)
Id yangu imebeba vitu vyote ninavyovipenda
kama ulipokea usisite kutoa tena
Ooh safi sana kuanzia sasa ntakuita ma mdogo etMama wajina wangu majina yetu yanafanana
Usijali mpendwa ombi limepita hata ukiniita mama sio mbaya 😄Ooh safi sana kuanzia sasa ntakuita ma mdogo et
kama ulipokea usisite kutoa tena
Oooh asante tupo pamojaaaUsijali mpendwa ombi limepita hata ukiniita mama sio mbaya [emoji1]
mahekalu ya LugumiNaamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.
JamiiForums mnakwama wapi? Ebu ungeni behewa hapo.Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?
Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...www.jamiiforums.com
Nimefafanua ID kwenye huo uzi post namba 1021
Hivyo ni bora pia mkuuKuna thread nyingi za namna hii, wakati mwingine unaangalia tu.
Hivyo ni bora pia mkuu
mzee hiyo honda click naipataje? mi cmoney ni aka ya jina langu si-mon na huyo jogoo alikua wa hom siku naanda id ndo nkaambiwa nkammchinje miaka kama 8 hiv nyuma hukoHahaha mkuu umenikumbusha...
Id yangu ilikua hivi,...
Ni kipindi natoka Rwanda nikiwa na wenzangu wanne sasa tuliondoka mda sio Kigali tukafika boda mida ya usiku na hapakua na usafiri wa kutuchukua kwa upande wa Tz. Sasa akatokea mchaga mmoja ana semiteller akatuambia atuchukue kwa elfu mbili mbili kwa kila mmoja mpaka mbele mbele. Sasa tukapanda kwenye kontena mulikua na magunia kama saba ya karoti, hakika siku hiyo nilitafuna kama za kwangu. Na hapo ndo jina hilo likapatikana.