Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Hahahahaha nimekuelewa mkuu....ila kwa hiyo I'd yangu inakuchekesha

Kuhusu mbege I was joking.. Na nilikwambia mkuu maana nisingeweza kubeba pombe wakati situmii
Yaaap Id yako inanipaga kicheko na sinaga sababu ya msingi ila ndoivo

Mbege nilijua unanitania ila utan wako unanifany nikikuona nikuchokoze mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Jitahidi uingie na wewe uwanjani,,, najua ni ngumu ila inawezekana....hata Mimi nilianza kwa kusota bench.
Mungu Wa kwetu sote mkuu najua ipo siku ntakua bize zaid ya saiz,,

Napambana ila kuna mda natulia navuta pumzi kidogo kufany maisha yaendelee kwan haya maisha ukiwa siriaz saan unaweza kufa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ray ni kifupisho cha jina langu. Ila pia Ray of Light is my favorite album kutoka kwa Madonna
 
Hahahaaaa sawa mkuu.
 

Ndoa yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…