Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Hahahahaha nimekuelewa mkuu....ila kwa hiyo I'd yangu inakuchekesha

Kuhusu mbege I was joking.. Na nilikwambia mkuu maana nisingeweza kubeba pombe wakati situmii
Yaaap Id yako inanipaga kicheko na sinaga sababu ya msingi ila ndoivo

Mbege nilijua unanitania ila utan wako unanifany nikikuona nikuchokoze mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu. Jitahidi uingie na wewe uwanjani,,, najua ni ngumu ila inawezekana....hata Mimi nilianza kwa kusota bench.
Mungu Wa kwetu sote mkuu najua ipo siku ntakua bize zaid ya saiz,,

Napambana ila kuna mda natulia navuta pumzi kidogo kufany maisha yaendelee kwan haya maisha ukiwa siriaz saan unaweza kufa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.
Ray ni kifupisho cha jina langu. Ila pia Ray of Light is my favorite album kutoka kwa Madonna
 
Hahahaaaa sawa mkuu.
Hahaha mkuu umenikumbusha...
Id yangu ilikua hivi,...

Ni kipindi natoka Rwanda nikiwa na wenzangu wanne sasa tuliondoka mda sio Kigali tukafika boda mida ya usiku na hapakua na usafiri wa kutuchukua kwa upande wa Tz. Sasa akatokea mchaga mmoja ana semiteller akatuambia atuchukue kwa elfu mbili mbili kwa kila mmoja mpaka mbele mbele. Sasa tukapanda kwenye kontena mulikua na magunia kama saba ya karoti, hakika siku hiyo nilitafuna kama za kwangu. Na hapo ndo jina hilo likapatikana.
 
Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.

Ndoa yangu
 
Back
Top Bottom