Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kabila gani hilo mkuu?
Che - ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi.
Yaani kama unaitwa Sombi basi ukishatoka jandoni unaitwa
Che Sombi.
Ni kama makabila mengine yanatumia viambishi awali kama
She - Lukindo
Mwa - Kipesile
Se - Kalinga
Se - Ntongo, nk.
Wazungu utasikia wanaitwa
Allex, Mc - Neell
Perez, De - Quere, nk

Mittoga ni jina la hadhi ya ukoo.
Kumbuka ile "Che" ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi, na sio jina.
Kwa mfano ukimsaidia mtu ktk tatizo kubwa anakuja kukushukuru hata kama unaitwa Ally hatamki Ally.
Bali anasema
"Usengwile Mittoga" kama ni mwanamume asiye pitia jandoni, kama kapitia jandoni utaunganisha Kiambishi awali cha sifa ya hadhi na jina la hadhi ya ukoo na utatamka
Che mittoga
Kwa maana ya " Asante Ally "
Hapo inamaana wanaume wa ukoo wa "Chapanjila" wote kama yeyote atafanya jambo zuri hivyo kutakiwa kushukuriwa au kuombwa radhi basi jina litakalotumika ni " mittoga "
Asante Che mittoga
Samahani Che mittoga.
Ndio maana nikatumia hiyo
Avatal.
Usengwile makamanda.
Kunjani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......

Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oooop...wewe ni katili sana badala uamulie ugomvi unaongeza tatizo ili wapasuane vizuri.
First ID imechezea ban miezi mitatu mpaka may 30
Nikaja na hii maana my mind is running wild kwa mfano nikakuta watu wawili wanapigana mmoja ana kisu mwingine hana silaha SIACHANISHI ila ntachokifanya ntampa kisu yule ambae hana wapigane vizuri fair fight.
 
JamiiForums mnakwama wapi? Ebu ungeni behewa hapo.

Nimefafanua ID kwenye huo uzi post namba 1021
Hatuna mda wa kwenda kutafuta sema hapahapa..unakwama wapi dogo
 
Back
Top Bottom