James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Nakusoma nakusoma hahaaaa...Tom And Jerry... Ile Episode ya El Magnifico. ...Yeah i know it sounds childish!!
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusoma nakusoma hahaaaa...Tom And Jerry... Ile Episode ya El Magnifico. ...Yeah i know it sounds childish!!
Bomba la mvua,,,,,,,,kuoga kwangu kunakua hakujakamilika kama sijaoga na bomba la mvua 😎😎
Chikutentema, jina la Utani la mjomba angu huko Sumbawanga, akinywa alikuwa na maguvu sana nami kwakuwa napenda umwamba (Ubabe) nilikuwa namkubali sana. Japo kaacha ubabe now
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi all the years huwa nakufananisha na yule jamaa mstaafu wa JWTZ alikuwa anaitwa Melkiory.Mimi hata sijui maana yake maana hakuna jina langu halisi hapa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Che - ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi.
Yaani kama unaitwa Sombi basi ukishatoka jandoni unaitwa
Che Sombi.
Ni kama makabila mengine yanatumia viambishi awali kama
She - Lukindo
Mwa - Kipesile
Se - Kalinga
Se - Ntongo, nk.
Wazungu utasikia wanaitwa
Allex, Mc - Neell
Perez, De - Quere, nk
Mittoga ni jina la hadhi ya ukoo.
Kumbuka ile "Che" ni kiambishi awali cha sifa ya hadhi, na sio jina.
Kwa mfano ukimsaidia mtu ktk tatizo kubwa anakuja kukushukuru hata kama unaitwa Ally hatamki Ally.
Bali anasema
"Usengwile Mittoga" kama ni mwanamume asiye pitia jandoni, kama kapitia jandoni utaunganisha Kiambishi awali cha sifa ya hadhi na jina la hadhi ya ukoo na utatamka
Che mittoga
Kwa maana ya " Asante Ally "
Hapo inamaana wanaume wa ukoo wa "Chapanjila" wote kama yeyote atafanya jambo zuri hivyo kutakiwa kushukuriwa au kuombwa radhi basi jina litakalotumika ni " mittoga "
Asante Che mittoga
Samahani Che mittoga.
Ndio maana nikatumia hiyo
Avatal.
Usengwile makamanda.
Kunjani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......
Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah
Sent using Jamii Forums mobile app
First ID imechezea ban miezi mitatu mpaka may 30
Nikaja na hii maana my mind is running wild kwa mfano nikakuta watu wawili wanapigana mmoja ana kisu mwingine hana silaha SIACHANISHI ila ntachokifanya ntampa kisu yule ambae hana wapigane vizuri fair fight.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sirudii tena uboya ule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatuna mda wa kwenda kutafuta sema hapahapa..unakwama wapi dogoJamiiForums mnakwama wapi? Ebu ungeni behewa hapo.Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?
Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...www.jamiiforums.com
Nimefafanua ID kwenye huo uzi post namba 1021
Hahahaa chriss kama upo jf jua ulipendwaa sana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sirudii tena uboya ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahhahahaa asee hayupo humuHahahaa chriss kama upo jf jua ulipendwaa sana
Atakua kajiunga mlivyoachana
Dah.... Mkuu nahisi ni secret kubwa sana
Kwa alivyo mweupe kichwani hizi mambo za kusoma hawezani nazo sijui nilimpendaje khaaaaAtakua kajiunga mlivyoachana