Architect E.M..... architecture is my passion and profession.... E.M are my names initials...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo ndo unamwona mweupe khaaaaKwa alivyo mweupe kichwani hizi mambo za kusoma hawezani nazo sijui nilimpendaje khaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
britanicca ni jina nililopewa nikiwa shuleni maana kila kitu niliulizwa mimi na kutoa majibu sahihi au yanayoelekea ukweli 90%
Niliitwa encyclopedia pindi wabishanapo wanasema tusubiri encyclopedia yetu yaan mimi, mpaka jina likashika
Jina Nilitakiwa kuliandika Britannica lakin nikabadili nikaita britanicca
mimi ni bahili sana na sipendi kuhonga kabisa...kiufupi mimi ni dumesuruali typically...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahahahhaha tulivyoachana ndo niligundua mweupe ...sasa mwanaume anapenda taarabu na mafumbo huyo mtu kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo ndo unamwona mweupe khaaaa
Waziri Baba,Mama,Mjomba,Binamu kati ya hao alisha wahi kuwa Waziri kwenye serikali flani, Kaskazini ni Home....
Waziri aliyetoka Kaskazini...
Itapendeza sana kama ndugu yangu Mndali ndanyelakakomu atakuja kujibu hili swali
Mkuu hujakosea ilikuwa hivyo mkuuInaelekea ulikuwa genius sana hadi leo uwezo wako nauona kwenye mada na michango yako humu jamvini.
Mimi Mkenya Na nilipofika hapa nikaona waTZ wanawachukia sana wakenya, wanawaita wezi, nyang’au etc. Nikaona isiwe shida nijiite Mkenya mwenye tamaa tu.
Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......
Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona comment yako mahali ukisema kuna mpenzi wako uliyemwamini sana mwishowe alikutapeli elfu 85 hadi leo hujamsamehe.Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......
Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah
Sent using Jamii Forums mobile app
ID yangu ni jina la jamaa furani Muigizaji wa filamu za kihindi.
Very clever
Kama mm nilivo.
Pia mitazamo yetu kuhusu mapenz, tunayachukulia sawa.
I love Bollywood movies ever...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jina lilikuja tu kichwani automatically,ila hako kapicha ni kwa hisani ya bwana Viatu vya Samaki
Mimi jina langu laanza na herufi "J"ushaitamka tayari sasa ni "Jay"
kuwa nina maarifa kiasi fulani basi jamaa fulani wakawa wananiita "Mtaalam" hivyo basi "Jay Mtaalam" naweza kukufanya ukabadili fikra,nikakufanya useme unachokifikiri japo mimi nitjifanya sijui haya kidogo ili nijue fikra zako,watu hufikiri sijui muda mwingine kumbe nawasoma ajili zao kwa sababu ni wabishi..nawasubiria mwishoni.
Hili jina natumia maana napenda sana kufanya Kazi kwenye Off Shore Rig, na nilipenda kujiita hivi tukisafiri tukiwa maeneo yenye hali ya hewa mbaya sana watu wanatapika mimi nakuwa nipo vizuri na ndio muda wangu wa kufurahia ubaharia.
Sent using Jamii Forums mobile app