Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Inaelekea ulikuwa genius sana hadi leo uwezo wako nauona kwenye mada na michango yako humu jamvini.
britanicca ni jina nililopewa nikiwa shuleni maana kila kitu niliulizwa mimi na kutoa majibu sahihi au yanayoelekea ukweli 90%
Niliitwa encyclopedia pindi wabishanapo wanasema tusubiri encyclopedia yetu yaan mimi, mpaka jina likashika

Jina Nilitakiwa kuliandika Britannica lakin nikabadili nikaita britanicca
 
Mm nilikuwa ndio najiunga jf mara nikasikia tukio moja kafanya rafiki yetu mmoja la kutisha nikasema hii sasa kali maana alikua mtu wa matukio ila hilo la mwisho lilitisha ndio nikajikuta nimejiita hivyo kama kumbumbu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Wakenya wanaelekea kuwa na tamaa maana kuna kipindi wananchi waliandamana kwenda bungeni na nguruwe kuonesha ulafi wa baadhi ya wabunge wa kujiongezea mishahara huku hali za wananchi zikiwa duni.
Mimi Mkenya Na nilipofika hapa nikaona waTZ wanawachukia sana wakenya, wanawaita wezi, nyang’au etc. Nikaona isiwe shida nijiite Mkenya mwenye tamaa tu.
 
Pole sana mkuu na pia hongera kwakuwa na mapenzi ya dhati hadi kumpa hadhi ya jina lake wewe kulitumia.
Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......

Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......

Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona comment yako mahali ukisema kuna mpenzi wako uliyemwamini sana mwishowe alikutapeli elfu 85 hadi leo hujamsamehe.
 
Genius wa mtaa au sio mzee baba.
Mimi jina langu laanza na herufi "J"ushaitamka tayari sasa ni "Jay"
kuwa nina maarifa kiasi fulani basi jamaa fulani wakawa wananiita "Mtaalam" hivyo basi "Jay Mtaalam" naweza kukufanya ukabadili fikra,nikakufanya useme unachokifikiri japo mimi nitjifanya sijui haya kidogo ili nijue fikra zako,watu hufikiri sijui muda mwingine kumbe nawasoma ajili zao kwa sababu ni wabishi..nawasubiria mwishoni.
 
Back
Top Bottom