viatu hivi ni zawadi siwezi kuikula mkuuHivyo viatu ukikosa mboga unaweza kuvitumia kwa dharura kama mboga.
Hii I'd watu wanasema imekaa kiume hahahahah
Basi Siku moja nitakukaribisha kuja kunywa mbege mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zesh jina langu hiyo chriss huyo alikua bwanangu kipindi nafungua hii akaunti so kwa mapenzi niliyokua nayo kwake niliamua kujiita zeshchriss ......
Mapenzi kitu cha kipumbavu sana eti time hii hatuongei mi na Chriss dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka una hatari kwelikweli... [emoji2][emoji2]13 mega pixel, hili jina nilipewa na mwanangu mmoja ambaye aliona uwezo wangu mkubwa wa kufanya mambo makubwa naye alikuwa anapenda kupiga sana picha, na kipindi hiko ana kamera flani ya zaman 2 mega pixel 15x optical, alinikubali sana sana akaanza kuniita 13 mega pixel na jina lingine alikuwa ananiita dingi, kabla hata hilo jina halijaenea chuga kisa nilimchukuwa dogo flani alikuwa anaishi maisha magumu sana na kumuhamishia home kwetu nikawa kama baba yake hiyo nilikuwa form 3, dogo yupo form 1 sasa hivi ni moja ya msanii mkubwa wa music wa kufoka foka hapa tz kutokea chuga...majina yangu ni 13 mega pixel, na dingi (2005) na lingine la advance ni budege (gari taka) baada ya kucharaza sana watoto wa kishua kwenye hiyo shule na nilikuwa sichagui sibagui
Hapana hata haijakaa kiume, mm siku naona hilo jina haraka tu niljua ni ID ya msichana
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu, niliongea na yule mzee alitaka aonane na wewe. Nilikutext sijui ulipata text yangu mkuu...Ba ha hatari sana bro
Halafu, niliongea na yule mzee alitaka aonane na wewe. Nilikutext sijui ulipata text yangu mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitafute namba yake nimtext ili tuweke kijiwe sehemu yetu pale...Mkuu niliona text yako, nikajisahau kidogo ku reply siyo mdau sana wa text sms, nisamehe kwa hilo, nitakupigia basi tuweke mambo sawa mkuu
Ngoja nitafute namba yake nimtext ili tuweke kijiwe sehemu yetu pale...
Maana nilipoteza simu, namba zote zilipotea pia mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanalipenda sasaAfadhali hata usijue maana kwa Id hii hata watoto wakike watapita mbali tu kwakweli.
NANKOTIMA....Mkuu hata mimi mwenyewe sijui ila nahisi itakuwa ni mbinu ya kuescape kwenye utumwa kwenye ile slave trade.Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.