Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mi natumia Fake ID maana nickname yangu nikiitumia itakuwa haina maana watu zaidi ya 1000 humu wananifahamu.
 
Nikiwa mdogo nadhani darasa la tano hivi, katika shule moja ya kidumu na fagio, kulikua na utaratibu wa kukaa watatu kwenye dawati moja na ni lazima kuwe na uwiano wa kijinsia (angalau 1:2). Sasa mimi nilikua ni mmoja wa wanafunzi pendwa kwa maana nilijitahidi kufanya vizuri darasani, kwahiyo watu wengi hasa watoto wa kike walitaka kukaa na mimi (wakati huo sijui nini mapenzi), mimi nikawa sipendi kukaa na watoto wa kike. Ikawa kila nikipangiwa wadada wa kukaa nao nawafukuza, ama nawapangia sheria kali za kufuata kwa kuwaambia mimi ndie kidume kwenye lile dawati. Ndipo mwalimu mkuu alipopelekewa malalamiko na kuja kunionya darasani, akasema ninasumbua wasichana wanaopangiwa kukaa na mimi, ninawaambia mimi ni Munamuge (ikimaanisha Baba mwenye nyumba kwa kisukuma), kwahiyo ninataka sheria zangu zifuatwe.
Kutoka siku ile yule mama akawa akiniita “Munamuge”.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Interesting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na mama,

Wanawake waliosoma na kupata kazi, huwa hawafurahii kuongozwa na baba kwa kila jambo na hatimae kujikuta akijijengea mfumo jike.
Na huwez kukuta anakua karbu na watoto wa kiume sana kama anao mabinti, hujikuta anawapenda mabinti zake zaidi.

Lakin mama wa nyumbani ambae anapika kila siku huwapenda sana watoto wao wa kiume.
Tofauti na wamama wenye kazi zao.
Uko sahihi mkuu,,, na Mimi pia nimejiita hivo maana nimeishi na baba tu

Ila ninyi wanaume na mama ni best friends vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ID yangu inanikumbusha MIT wakati nafanya PhD, Kuna Prof mmoja kutoka Nigeria aliitwa hivyo, alikuwa comedy sana

BahariaChomboni
 
Back
Top Bottom