Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mimi napenda kujifunza misemo ya walatini hasa baada ya kuisoma kwenye tasnia ya sheria(maxims) hivyo nikaona nichukue mmojawapo niufanye ID.

Tempus Fugit, ikiwa na maana ya time flies.
 
Shadeeya zamu yako, tupe asili ya utambulisho wako

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Jina zuri sana... Nilihisi ndio jina lako halisi
Hahahaaaa. Duuh!

Hili ni jina la Mtoto wa Kaka yangu wa kwanza

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Hivi siwezi kulifahamu kweli...??

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Hahahaaaa. LOL
Wala huna haja ya kuwa na hofu... Chako kikifika kwangu kinakuwa chako na changu peke yangu... Hakiwezi kwenda kwa mwengine...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Tuta Absoluta.
Ni mdudu jamii ya leaf miners maarufu kama "kantangaze" miaka ya karibuni kawasumbua sana wakulima wa nyanya.
Kilichofanya iwe ID nilikutana na swali wkt wa interview nimueelzee huyo mdudu na namna ya kumdhibiti, nilichemka coz nilikua sijui hata hiyo tuta absoluta ina maana gani.
 
SPARTACUS> roho iliniuma sana iliposhindikana kuja kama nilivyokusudia, namkubali sana mchizi kwenye ile movie.
 
Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.

Mimi hilo jina langu nilipewa kazini siku ya kwanza nafika najitambulisha Naitwa Madam Shayo kiongozi aksema shayo wengu huwa wanatoka Rombo wahiyo wewe ni product ya huko. kIAL KUKIWA NA KIKAO waaniita we Binti wa Rombo twende kwenye kikao . Hapa ndo mwanzo wa ID yang ilipozaliwa .
 
JamiiForums mnakwama wapi? Ebu ungeni behewa hapo.

Nimefafanua ID kwenye huo uzi post namba 1021
Acha wivu, unaona mwenzio anapata makomenti wewe unaona wivu, au wewe ni Bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi jina lako litakuwa zuri zaidi ya hilo

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Hahahaaaa. LOL
Hivi siwezi kulifahamu kweli...??

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Wala huna haja ya kuwa na hofu... Chako kikifika kwangu kinakuwa chako na changu peke yangu... Hakiwezi kwenda kwa mwengine...

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Shadeeya naona una like tu ila jibu hutaki kunipa.... au ndio sitakiwi kulazimisha maji kuwa mafuta... Si lazima uniambie hapa kuna kile kibox cha inbox

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
La kwangu linaeleweka.
Emmy- mama yangu mzazi,
Guy- kijana wa shoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

T[emoji769]
 
Back
Top Bottom