Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Bora aendelee kutokuwemo humu gari ichukuliwe na dereva mwingine tu.
Tooobaa yamekuwa hayo tena.Hahahaha kweli when a broken heart go...... Naomba niishie hapa.Kwa alivyo mweupe kichwani hizi mambo za kusoma hawezani nazo sijui nilimpendaje khaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Duuh!
Hili ni jina la Mtoto wa Kaka yangu wa kwanza
Hahahaa. Hapana Mkuu.Jina zuri sana... Nilihisi ndio jina lako halisi
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Hahahaa. Hapana Mkuu.
Hahahaaaa. LOLNahisi jina lako litakuwa zuri zaidi ya hilo
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Hivi siwezi kulifahamu kweli...??Hahahaaaa. LOL
Hivi siwezi kulifahamu kweli...??
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Wala huna haja ya kuwa na hofu... Chako kikifika kwangu kinakuwa chako na changu peke yangu... Hakiwezi kwenda kwa mwengine...Hahahaaaa. LOL
Vipi kuifungua ukiwa na mtoto mzuriUwezo wangu wa kufikiria ni mdogo sana naweza kuchukua hata robo saa nawaza jinsi ya kufunga zipu ya suruali.hii ndo sababu ya jina langu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini huenda kila mmoja wetu hapa Jamii Forums ana chanzo/sababu mahsusi ya kuja na ID yake aidha kuna jambo/tukio lilimvutia/huzunisha hivyo kuja na Id fulani.Binafsi Id yangu ilitokana na kipindi fulani kufanya kazi kwenye 'Camp' moja ya wakimbizi hivyo wakati huo ndo nimeanza kuingia Jf kama Guest kabla ya kujiunga rasmi.Neno 'cmp' nimefupisha neno camp.
Acha wivu, unaona mwenzio anapata makomenti wewe unaona wivu, au wewe ni BashiteJamiiForums mnakwama wapi? Ebu ungeni behewa hapo.Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?
Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...www.jamiiforums.com
Nimefafanua ID kwenye huo uzi post namba 1021
Nahisi jina lako litakuwa zuri zaidi ya hilo
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Hahahaaaa. LOL
Hivi siwezi kulifahamu kweli...??
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Shadeeya naona una like tu ila jibu hutaki kunipa.... au ndio sitakiwi kulazimisha maji kuwa mafuta... Si lazima uniambie hapa kuna kile kibox cha inboxWala huna haja ya kuwa na hofu... Chako kikifika kwangu kinakuwa chako na changu peke yangu... Hakiwezi kwenda kwa mwengine...
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""