Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mhh mi ilitokea tu kila jina nnaloweka already used,LadyRed likakubali, nlilikumbuka kwny tamthilia flani hivi ya kifilipino, the promise nadhani,kulikua na mapacha hivi Red sijui na nani,em nikumbumbushe anaeikumbuka,
 
Naogopa kuthema nisije nikapigwa ban takatifu jokes aside sikumbuki banaa huu uzi wa tangu mwaka 47 halafu umekuwa mrefu kama nyoka wa nanihii. Hebu kumbuka basi halafu uweke hapa. Kwa mbali nakumbuka huu ni muungano wa majina mawili "Hus" na "Ninyo" kama ule wa muungano wa bara na visiwani.

BAK hebu nikumbushe niliwapa maana gani, nshasahau
 
Hmmmmm! Very interesting, hebu funguka zaidi kama utaweza kuhusu taharuki za kifimbo cha Baba yetu.

MZIMU wa KOLELO[/QUOTE]
natokea MOROGORO milimani kule sehemu fulani AMAZING
nikiwa na miaka 9 tu nilizimia miezi 2 MILIMANI kwenyewe nikifundishwa Mitishamba na kupokea MAELEZO mbarimbari
ndipo nilipofikisha miaka 12 nikakabidhiwa ZANA kamili na MZIMU WA KOLELO na ZOEZI la kwanza nililofanyia FIELD nikiwa na KIONGOZI mkuu ni KUTULIZA kifimbo cha BABA YETU wote
kilichozua taharuki huko kwake ilikuwa no mwaka mmoja toka afariki uko UK
tukamkabidhisha mwanae

nadumisha mila ni mimi

MZIMU wa KOLELO
 
Mhh mi ilitokea tu kila jina nnaloweka already used,LadyRed likakubali, nlilikumbuka kwny tamthilia flani hivi ya kifilipino, the promise nadhani,kulikua na mapacha hivi Red sijui na nani,em nikumbumbushe anaeikumbuka,
I think ni ile The Long wait, Lorrea na Lorrinda/Red butterfly
 
At the time of his death, He was the longest-serving ruler in africa.In office April 14,1967-february 5,2005.Nimetokea tu kumfagilia huyu late general.
 
Hmmmmm! Very interesting, hebu funguka zaidi kama utaweza kuhusu taharuki za kifimbo cha Baba yetu.

MZIMU wa KOLELO
NO ! siwezi
we jua tu kile kifimbo kimetoka kule kwetu na baada mwenyewe kufa kilizua TAHARUKI

WAKAKIRETA NA HELICOPTER tukakituliza
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mm natumia jina langu kamili kirumbuyo ni jina la babu yangu uwa nalipenda sana nikifika popote linanifanya naoneka na jina special
 
My kaka cal me ths name, jna langu laendana nalo japo nt exactly.
 
Back
Top Bottom