Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hahahahaha.Yaani wewe. Hilo hilo linalukijia mwanzoni kwenye mtiririko wa fikra.Hapo unazungumzia bao lipi mpendwa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha.Yaani wewe. Hilo hilo linalukijia mwanzoni kwenye mtiririko wa fikra.Hapo unazungumzia bao lipi mpendwa??
Wow,yule namfagilia sana. Ipo siku atashinda.Nikiionaga hii id yako picha ya kwanza inayonijia kichwani ni ya Victoire Ingabire yule mama ambaye ni political activist maarufu wa Rwanda
[emoji848][emoji848]Hahaha unakimbia maswali wakati nataka niwekeze hapo jamani,
[emoji39][emoji9]
Yaani umeamua kunitega sio?Hahahahaha.Yaani wewe. Hilo hilo linalukijia mwanzoni kwenye mtiririko wa fikra.
Jibu unalo tayari.Yaani umeamua kunitega sio?
Utanifanya nimuachie Mungu... shauri zako.Jibu unalo tayari.
Huyo akishinda ujue na Tundu Lissu anakuwa prezidaa wetu. Walioko madarakani hawawezi kuwaachia hawa viumbe waingie mjengoni. Woga!Wow,yule namfagilia sana. Ipo siku atashinda.
Hahah niko huku kwa mabingwa wa kombe la dunia babu!!Khaaa umenijibu kwa kuchomekea kabisa?
Afu kwani we uko wapi mpaka saa hizi uko macho??
[emoji6] utani kidogo na uchokozi kwa mbali ila nmekuelewa mkimya mwenzangu
Hebu tulia kwanza ... usiwe mjukuu wangu kwanini? Unajua bibi yako alikuwa girlfriend wangu kabla babu yako hajanifanyia ubazazi akamuoa???Hahah niko huku kwa mabingwa wa kombe la dunia babu!!
Halafu unajua mimi naweza nisiwe mjukuu wako kabisa kwani una umri gani??
Wow,yule namfagilia sana. Ipo siku atashinda.
Huyo akishinda ujue na Tundu Lissu anakuwa prezidaa wetu. Walioko madarakani hawawezi kuwaachia hawa viumbe waingie mjengoni. Woga!
Hebu tulia kwanza ... usiwe mjukuu wangu kwanini? Unajua bibi yako alikuwa girlfriend wangu kabla babu yako hajanifanyia ubazazi akamuoa???
Wasiwasi kwamba?Nina wasiwasi
Mimi ni 'ejigoo' ujueWasiwasi kwamba?
Basi mie nilidhani ndiyo mwaka uliozaliwa
Hata ufanyaje... we ni mjukuu tuMimi ni 'ejigoo' ujue
Ni kweli ila ipo siku atashinda tu.Daah kwa figisu za Kagame sidhani labda Kagame atoke maiti ikulu
Nasubiria MLEVi MmojaDaah ni story ya kusikitisha na kuhuzunisha that's why nalewa ili niwe nasahau sometimes nalala kabisa bar nanyanyuliwa napalekwa home ..nikipata wasaa naperuzi jamii forums nkiwa kwangu nimejifungia peke angu sina mda na jirani wala watu.
Kwanzaa nimeacha assets zangu nkatoweka sjulikan nilipo na rafki nikisema ndugu nadanganya maana Mimi mwenyewe siwajui ndo nina almost 3yrs nimekuja kuishi hili eneo as ordinary person hakuna anaejua background yangu wala jina baba mwenye nyumba ananijua jina tu kodi namlipa fresh japo ananidanganya mambo mengine na michango hapo home ili kunipiga pesa Mimi Nampa tu sihoji chochote hajui nafanya kazi gan pesa natoa wapi
japo kuna sister jiran anijui jina ananiita mlevi mmoja ndo nimelipenda natumia humu ndo akiona nimechelewa kurudi atanitafuta ataomba Msaada nisaidiwe kubebwa sometimes anakuja ananisaidia kufanya usafi sometimes ananikuta asubuhi na pombe zangu kazaa mezani anazichukua anazitupa ananifokea sana sometimes ananipikia
Mara nilale kweny baraza za watu hapo nimelewa wananisachi wananichukulia phone pesaa ila hyo hainiumizi kichwa.. Pesa kwangu hazina samani ni jambo dogo.. Makaratasi.. Pesa sio kila kitu nyie jidanganyeni tu
Nalewa nazidiwa na pombe mpaka nazima kwa kifafa napelekwa hospital huyu sister sijataka kujua jina Lake namuita Miss annoying maana naona ni msumbufu ananifuatilia life langu ..well anakuja kunicheki hospital ananiletea matunda tunapiga story na nikiwa sijalewa naongea point na mcheshi kwelikweli .
ila zle story zangu zakwenda ugaibun kpind hcho kutafuna papuchi siziingizi tukiongea [emoji23] mabaharia mnaelewa..tuachane na hlo hako kalikua kautani tu sitaki mtu hapa nlpo ajue Mimi na background ila yote tisa Mungu ambariki tu kwakweli
Tuachane na hayo sku nikipata mda ntaandika kwa nini niko hivi nadhani kuna somo watajifunza watu
Lisu ni ngumu kuwa Rais. Nyie wachaga hamtakubali agombee kupitia Chadema. Lazima Mbowe ambanie tu. Victoire ni jeshi la mtu mmoja. Nadhani Victoire timing ilimponza tu. Alitakiwa baada ya awamu hii ndo aende Rwanda akampinge Kagame. Angeendelea kuweka nguvu zake kwenye mitandao huku akiwa Uholanzi.Huyo akishinda ujue na Tundu Lissu anakuwa prezidaa wetu. Walioko madarakani hawawezi kuwaachia hawa viumbe waingie mjengoni. Woga!