Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima kujieleza
Kichwa KichafuJina Gani Mkuu Maana Umeniacha Njia Panda
Aah!Anne jina langu lingine ila Sio official.
Nilizaliwa kipindi wazazi wanasali uwata.
Yalipendekezwa majina 3 baada ya maombi na hili lilikuwapo.
Likapita moja la kutumia officially.
Saint ,hakuna aliye mkamilifu duniani ila inawezekana kuwa mtakatifu duniani. najitahidi kuutafuta utakatifu ili niwe Bora na nimpendeze Mungu sawa na zaburi 16:3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nadhani pia haikuwa lazima kucomment mkuu
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa.[emoji23][emoji23][emoji23].To be honest...katika majimbo yote manne niliyokaa kule...sijawahi kuona genge..sijui huyu anauza supu ya pweza, huyu mahindi choma na pilipili, huyu samaki wa leo leo..[emoji23][emoji23] n.k...
Wenzetu wamejiwekeza kwenye shopping malls ambazo utapata mahitaji karibu yote humo....pia super markets ambazo wao wanaita Store....so ukiingia humo unahudumiwa kila kitu..
Ila kwa mtu mwenye hela zake...maisha ya hapa Bongo matamu zaidi..Mtazamo wangu..
[emoji23][emoji23]..kww kweli tuliozoea maisha yetu ya kiswazi..wiki mbili za mwanzo unapata taabu haswa kuzoea mazingira haswa vyakula na hali ya hewa endapo utakuwa umefika kipindi ambacho hali ya hewa ni mbaya..Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tuliozoea uswahilini mbona itakuwa kasheshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu gharama za pango naona Ni kubwa,mfanya kazi wa kazi zisizo za kisomo ana afford vipi?
Vipi kuhusu kujenga ili kupunguza gharama za kodi,,inaruhusiwa kumiliki ardhi?
Duh.. hivi nako kuna ugali huko!?[emoji23][emoji23]..kww kweli tuliozoea maisha yetu ya kiswazi..wiki mbili za mwanzo unapata taabu haswa kuzoea mazingira haswa vyakula na hali ya hewa endapo utakuwa umefika kipindi ambacho hali ya hewa ni mbaya..
Yes, nyumba kule ni gharama sana..hivyo kwa anayehitaji kukaaa kule, awe na uwezo wa kutengeneza angalau $2000+ kwa mwezi..si chini ya hapo..
Kuhusu kumiliki nyumba..kuna wazungu nilikuwa naona wanaishi kwenye nyumba zao binafsi...lakini kwa bahati mbaya sikuwa kuuliza utaratibu wa kumiliki ardhi ukoje...japo nadhani ukigoogle unaweza kupata mawili matatu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui huwa wanamaanisha Nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh.. hivi nako kuna ugali huko!?
Maana nisije kufa njaa bure kwa vyakula nisivyovizoea.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh.. hivi nako kuna ugali huko!?
Maana nisije kufa njaa bure kwa vyakula nisivyovizoea.
Huko ningekufa mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanakokula vyura,madudu ya ajabu aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa si bora USA kuliko China yaani kule ndiyo ungekufa njaa mapema kabisa[emoji1787][emoji1787]
Na wali nao upo!?[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugali upo...kuna unga wa sembe nilikuwa nanunua...mweupe au ule wa mahindi ya njano...uchaguzi ni wako..
Walikuwa wanapaki kwenye vikopo vya kilo moja moja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Bhangi tu