Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Anne jina langu lingine ila Sio official.
Nilizaliwa kipindi wazazi wanasali uwata.
Yalipendekezwa majina 3 baada ya maombi na hili lilikuwapo.
Likapita moja la kutumia officially.

Saint ,hakuna aliye mkamilifu duniani ila inawezekana kuwa mtakatifu duniani. najitahidi kuutafuta utakatifu ili niwe Bora na nimpendeze Mungu sawa na zaburi 16:3
Aah!
 
Hahaa.[emoji23][emoji23][emoji23].To be honest...katika majimbo yote manne niliyokaa kule...sijawahi kuona genge..sijui huyu anauza supu ya pweza, huyu mahindi choma na pilipili, huyu samaki wa leo leo..[emoji23][emoji23] n.k...

Wenzetu wamejiwekeza kwenye shopping malls ambazo utapata mahitaji karibu yote humo....pia super markets ambazo wao wanaita Store....so ukiingia humo unahudumiwa kila kitu..

Ila kwa mtu mwenye hela zake...maisha ya hapa Bongo matamu zaidi..Mtazamo wangu..
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tuliozoea uswahilini mbona itakuwa kasheshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu gharama za pango naona Ni kubwa,mfanya kazi wa kazi zisizo za kisomo ana afford vipi?
Vipi kuhusu kujenga ili kupunguza gharama za kodi,,inaruhusiwa kumiliki ardhi?
 
Aladeen
Mfalme [rais] mmoja dikteta sanaaaaa, anapenda ngono kinoma,full kuamuru watu wauawe (lakini hawakuuwawa) na ndio waliokuja kumuokoa pindi alipopinduliwa na kurejea madarakani....kama haujaelewa basi tafuta movie yake.
 
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tuliozoea uswahilini mbona itakuwa kasheshe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu gharama za pango naona Ni kubwa,mfanya kazi wa kazi zisizo za kisomo ana afford vipi?
Vipi kuhusu kujenga ili kupunguza gharama za kodi,,inaruhusiwa kumiliki ardhi?
[emoji23][emoji23]..kww kweli tuliozoea maisha yetu ya kiswazi..wiki mbili za mwanzo unapata taabu haswa kuzoea mazingira haswa vyakula na hali ya hewa endapo utakuwa umefika kipindi ambacho hali ya hewa ni mbaya..
Yes, nyumba kule ni gharama sana..hivyo kwa anayehitaji kukaaa kule, awe na uwezo wa kutengeneza angalau $2000+ kwa mwezi..si chini ya hapo..
Kuhusu kumiliki nyumba..kuna wazungu nilikuwa naona wanaishi kwenye nyumba zao binafsi...lakini kwa bahati mbaya sikuwa kuuliza utaratibu wa kumiliki ardhi ukoje...japo nadhani ukigoogle unaweza kupata mawili matatu..
 
Duh.. hivi nako kuna ugali huko!?
Maana nisije kufa njaa bure kwa vyakula nisivyovizoea.
 
Duh.. hivi nako kuna ugali huko!?
Maana nisije kufa njaa bure kwa vyakula nisivyovizoea.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugali upo...kuna unga wa sembe nilikuwa nanunua...mweupe au ule wa mahindi ya njano...uchaguzi ni wako..
Walikuwa wanapaki kwenye vikopo vya kilo moja moja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm jna langu n wimbo wa bendi ya the script; yan MAN ON A WIRE jna hili nilijipa baada ya kuwa na life gumu pale A level hasa la class coz nilipga pgm kwa hio nilikuwa najihs natembea juu ya kamba,sio math wala phy zote ilikuwa mtiti ila Mungu n mwema tupo tunapga bach... chuo flan nchi hii
 
[emoji23][emoji23]sasa si bora USA kuliko China yaani kule ndiyo ungekufa njaa mapema kabisa[emoji1787][emoji1787]
Huko ningekufa mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanakokula vyura,madudu ya ajabu aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugali upo...kuna unga wa sembe nilikuwa nanunua...mweupe au ule wa mahindi ya njano...uchaguzi ni wako..
Walikuwa wanapaki kwenye vikopo vya kilo moja moja...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wali nao upo!?
Ndizi je!?
Nako kuna migomba!??.
Hivi huko nako Kuna daladala halafu makondakta wanakuwa rafurafu km huku kwetu!?
Halafu nasikia masaa yamepishana, huko muda huu Ni mchana au asbh.. hivi si naeza shida nmelala mchana usiku kwangu ndio mchana.maana kasheshe ya kubadili Muda Sio ndogo
 
Back
Top Bottom