To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Sawa mkuuOhh, basi haikua mbali na dhania yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuOhh, basi haikua mbali na dhania yangu.
Mlongoooo nimechekaaaaaaa sanaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NIkiwa kwetu, kuna mzee tulikuwa tunaishia naye jirani, mjini. Sasa mijini kuna haya makundi ya ngoma za kienyeji yanayotoa burudani, kwa wakati huu kwenye masherehe. Kule kwetu kulikuwa na kundi la ngoma ya mganda, ambalo kila Jumapili kulikuwa na eneo fulani makundi haya yanatoa burudani bure. Unahama tu toka kwenye ngoma hii kwenda nyingine. Sasa huyo mzee (RIP Ngalikihinja) alikuwa ananilazimisha mimi nijiunge na kundi la ngoma ya mganda, maana ni ya kijiji kwetu. Nikajiunga na kuwa napiga ngoma ndogo (perekete - cocastic anaweza akawa anaijua). Kumuenzi nikaamua kutumia jina lake huku JF
Tupe maana ya Jina lako au uliamua tu iwe kinyume cha fantastic [emoji16][emoji16]Napitaaaa tyuuuuh
nikiona hili jina huwa nakumbukaga sana miwaleni.Uchira
🤣🤣🤣 dah mkuu nimeona tu jina nimecheka mno na kufungua ndani ndo hadi machozi yametoka. shukrani sana kwa kushare.Nilikula hela ya ada kama laki 2 na ikafika tarehe za end of semester uongozi wa chuo ukatukatalia kuwa asielipa ada hafanyi paper zimebaki siku kama tatu tufanye nilikuwa sins raha laki 2 naipata wapi nikasema ngoja niombe mungu kwa siku 1 moja anisaidie nipate hela pindi nikiomba watu wanipe weee siku ya kwanza kila nikiomba kwa mtu hana siku ya pili hola daa nikasema ngoja niombe kwa shetani nikasema shetani nisaidie nibet nile nikabet mkeka nikala laki 5 daaa toka siku hiyo nikaamini shetani ukimuomba anakupa nikajitiita Iblis bin Shetan maana aliniokoa kweli
hili jina lina mautam nayaona tupe burudani kidogo.Mlongoooo nimechekaaaaaaa sanaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Useme bana usipite tu kama vile hapakuhusuNapitaaaa tyuuuuh
Zero grazingDah nimezaliwa ilala,makuzi yangu yote Hadi Leo naweza kuitwa mtu mzima ni ilala,nimesoma msingi Hadi namaliza sec ilala.
Sehemu ambayo najiskia amani moyoni nikiwepo..
Daah sio poa aseehNilikula hela ya ada kama laki 2 na ikafika tarehe za end of semester uongozi wa chuo ukatukatalia kuwa asielipa ada hafanyi paper zimebaki siku kama tatu tufanye nilikuwa sins raha laki 2 naipata wapi nikasema ngoja niombe mungu kwa siku 1 moja anisaidie nipate hela pindi nikiomba watu wanipe weee siku ya kwanza kila nikiomba kwa mtu hana siku ya pili hola daa nikasema ngoja niombe kwa shetani nikasema shetani nisaidie nibet nile nikabet mkeka nikala laki 5 daaa toka siku hiyo nikaamini shetani ukimuomba anakupa nikajitiita Iblis bin Shetan maana aliniokoa kweli
Turkey hii😁Umraniyespor wazee wa makeka lazima waijue hii timu.