Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thomastam- initials ya majina yangu rasmi.
sana- niliweka baada ya kuonekana jina 'tam' lilikuwa limesasajiliwa humu. Ili kijitofautisha nikajiita tamsana.
Unaweza ukabahatisha T na A pekee, hilo la tatu huwezi abadani.Thomas
Timoth
Timotheo
Theophil
Titus
Tito
T 😎
Aisee,na kwenye avatar ukaamua kutanguliza miguu kwanza[emoji3](Lucky) (line)
Lucky= nilipewa na doctor, mama anasema wakati wa kuzaliwa nilitanguliza miguu, it was complicated kujifungua na hakukuwepo mambo ya operation. Maness wa kawaida wote walitoka ikalazimika kuja ma dr kama 5 hivi, (hiyo sehemu huduma za afya zipogo kitambo sio kama huku) hii ishu ya kutanguliza miguu mikono inabaki nyuma mara uje mmoja mwingine ubaki ilikuwa nadra sana. Dr moja alitoka kwenda kufata kifaa wakati wengine wanaendelea anarudi ndo akakuta nishatoka hapo hapo akatoa hilo jina.
Kwahio umechagua upande wake?bado unamtegemea?Nilikula hela ya ada kama laki 2 na ikafika tarehe za end of semester uongozi wa chuo ukatukatalia kuwa asielipa ada hafanyi paper zimebaki siku kama tatu tufanye nilikuwa sins raha laki 2 naipata wapi nikasema ngoja niombe mungu kwa siku 1 moja anisaidie nipate hela pindi nikiomba watu wanipe weee siku ya kwanza kila nikiomba kwa mtu hana siku ya pili hola daa nikasema ngoja niombe kwa shetani nikasema shetani nisaidie nibet nile nikabet mkeka nikala laki 5 daaa toka siku hiyo nikaamini shetani ukimuomba anakupa nikajitiita Iblis bin Shetan maana aliniokoa kweli
Unaishi huko au upo hapahapa Bongo bahati mbaya(BBM)?[emoji1078][emoji1078]
Kama nimekuelewa unampenda yule Dada msemaji wa Simba?Anaitwa Barbara Gonzales?nampenda Sana babla[emoji8]
Hivyo hivyo kama ilivyo.Aisee,na kwenye avatar ukaamua kutanguliza miguu kwanza[emoji3]
Aisee,mipango ya watoto 12 inaendelea?umefikisha wangapi mpaka sasa.Yna12...nimelipenda tu hilo jina..mimi ni mpenzi sana wa philipino drama..na namkubali sana hyu dada alieigiza kama yna kwenye tamthilia moja hivi...ndio maana nikaamua kujipachika ilo jina..na hyo 12 ni idadi ya watoto niliopanga kua nao...[emoji137]
Ahahaha MchagaEs = S - comes from initial name of mine
Mari - last spellings kutoka kwa jina la ukoo
All those make Esmari
Nitakuloga
Nimeaga MoshiNitakuloga
Em tupe maana ya ID yako kwanza dada DeborahNimeaga Moshi
Debora Paul LaswaiEm tupe maana ya ID yako kwanza dada Deborah