Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

eeh The Boss kwa kujipandisha chat!...miye nikikuficha lazima uweweseke!.....anyways i am Binti Maringo!...remember??????????????

wewe ni binti maringo...
na mimi ni mr kidhibiti maringo......
ha ha hah a......
 
wewe ni binti maringo...
na mimi ni mr kidhibiti maringo......
ha ha hah a......


hahaha i like that!...but how are you going dhibiti my maringo?!>>..i thought....."never mind".....Opp Asije akaanza ooh get a room...
 
Ni "madako" na sio "madaho"


Kisukuma na miye siyo msukuma nina lugha yangu pia utani-sahihishaje na lugha yangu jamani eeh!....siyo kila mtu msukuma humundani keep that in mind and second tanzania inamakabila mengi sana.....
 
Back
Top Bottom