Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Silaha ya Masikini wote duniani ni kuwa na msimamo; Jeuri ya Masikini ni kutokubali kuonewa na mwenye nacho!
Masikini jeuri ni jina nililorithi toka Kwa Babu yangu; alikuwa masikini na alibahatika kupata watoto watano wote wa kike; Babu yangu alijitahidi kuwasomesha wote pamoja na itikadi potofu ya wakati huo ya kutomthamini mwanamke!

Najisikia fahari kumuenzi kupitia jina hili! Nimekuwa nikilitumia katika forums tofauti na wale waliobahatika kupiti Young African nililitumia sana huko pia.
 
Mimi ni mshirika tu wa kanisa, lakini toka nilipoamua kumuamini Mungu nilidhamiria kuishi maisha ya kumpendeza Mungu na kujiepusha na namna yoyote ya kujinajisi na uovu.

Kutokana na maisha ninayoishi watu wananiita Mchungaji na wakati mwingi mke wangu wanamuita mama mchungaji. sina cheo chochote kanisani lakini ninafundisha neno la Mungu (Mwalimu wa biblia)

Kwa hiyo nimefika mahali naamini kuwa haiyamkini Mungu ananiandaa kwa huduma nyingine zaidi ndo maana nikasema ni FUTURE BISHOP
 
ANYISILE = maana yake amenijia bwana Yesu, sa sijui kwa wengine, kwa kuwa tunapenda sana kuabudu watu kwa majina yao hili hilipati popote nje ya TUKUYU, MWAKALELI, NSELYA, KYELA, LUFILYO, LUANGWA, LUGOMBO, KAMBASEGELA, BUJHONDE, ISANGE, heheeeeee is a natural name, and its meaning is that
 
Wengine je? Kuna majina mengine kama Kyachakiche, n.k
Isiyo ogopa, yenye kujiamini, liwalo na liwe ili mradi anachokiamini kifanyike, asiye katishwa tamaa,mwenye msimamo, asiyeyumbishwa. Haya yote ni baadhi maneno yanayoweza kutoa maana ya KYACHAKICHE!
 
Hahahahahahah!

ha ha ha ha ha halafu jinsia mbili zote ziko bomba katika utendaji. Sasa sijui Mkuu mara nyingi huipenda kuitumia ipi?
 
You can't catch me, I have the ability of escaping or vanishing whenever I like.


Are u sure Mkuu I can't catch you? LOL!....Now you see him, now you don't..... because he is so Elusive. Thanks bro 🙂
 
Lekanjobe = Hebu niseme
Babu yangu alikuwa msema kweli, akiwa msuluhishi katika jamii yake. Hakuwa na subira kumwambia waziwazi mtu yeyote anayeharibu "Kubinika!" yaani "Unaharibu!" hata kama ni kiongozi. Wakampachika jina la Kubinika kwa utani na ikamkaa hadi kifo chake.

mkuu nadhani maana halisi ni acha niseme na sio hebu niseme!
 
Madule ni jina la kilugha lenye maana ya viazi vitamu.. huwa linanikumbusha enzi za utoto tukichunga mbuzi na n'gombe kule kikjijini. tulikuwa na kawaida ya kutengeneza kitu inaitwa kabunguja, hutengenzwa kutumia udongo ambapo ndani yake huwekwa moto hadi huwa ya mato red hot then tunaweka viazi tulivoiba mashmabani kwa watu, tuliluwa na style ya kuiba ambayo ilikuwa sio rahisi kukamatwa.kwa kuwa mashmaba mengi ya viazi yaliwa katikati ya shamba la mahindi ma mara nyingi wakina mama walikuwa ndio walinzi, style ilikuwa ni kwamba tukifika hapo tunaanza kusalimia kwa sauti kubwa ( mamaaa shikamooooo!, pole na kaziiiii! mara mamaa mbona upo kimyaaaa! naomba maji ya kunywa!, tukiona kimya tunajua salama, tunajisevia weee, tunahama kama km 3 hivi kutengeneza kabunguja!
Jamani maisha ya utotoni raha saaana. gone those good days
 
M-bongotz kwa sababu najivunia utanzania wangu pamoja na shida zote tulizonazo.
 
moz-screenshot-5.jpg
ERNESTO ‘CHE’ GUEVARA
In books & magazines

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Che"]Che[/ame] was featured on the cover of the August 8, 1960 edition of Time Magazine, where in they declared Guevara "[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Fidel_Castro"]Castro's[/ame] Brain".[43]

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Time_Magazine"]Time Magazine[/ame] named Che Guevara one of the 100 most influential people of the 20th Century, while listing him in the "heroes and icons" section.[44]
In fashion


  • Supermodel Gisele Bündchen donned a bikini adorned with Che Guevara's image for the São Paulo fashion week in July 2002.

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Prince_Henry_of_Wales"]Prince Harry[/ame] was spotted in July 2006 adorning a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Che_Guevara"]Che Guevara[/ame] t-shirt, leading London tabloids to proclaim him "Havana Henry".

  • Rapper Jay-Z, who raps in one of his songs "I'm like [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Che_Guevara"]Che Guevara[/ame] with bling on", commonly is seen wearing a Che Guevara T-shirt.
Body art


  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Argentina"]Argentine[/ame] football legend [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Diego_Maradona"]Diego Maradona[/ame], has a tattoo portrait of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Che_Guevara"]Che Guevara[/ame] on his right arm.

  • Former Heavy Weight Boxing champion [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Mike_Tyson"]Mike Tyson[/ame] who has a tattoo of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Che_Guevara"]Che Guevara[/ame] on his rib, in 2003 described Che as "An incredible individual. He had so much, but sacrificed it all for the benefit of other people."[80]

  • Veteran [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/England"]English[/ame] professional [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Association_football"]footballer[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Darren_Currie"]Darren Currie[/ame] has a large tattoo on the left side of his stomach of Che Guevara. When asked about the motivation for the piece, Currie stated that he had been reading Che's book since he was 14, and that he "admired the way he went out of his way about things."[81]

  • Argentine [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Juan_Sebastian_Veron"]Juan Sebastian Veron[/ame], the 2008 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/South_American_Footballer_of_the_Year"]South American Footballer of the Year[/ame], has a tattoo of Che's face on his shoulder. When his S.S. Lazio won the 1999 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Serie_A"]Serie A[/ame] championship, some of the teams Italian fans who initially didn't like the tattoo, came into the dressing room and kissed it.[82]

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Italy"]Italian[/ame] footballer [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Fabrizio_Miccoli"]Fabrizio Miccoli[/ame] who plays striker for Palermo, has a large Che Guevara tattoo on his left calf.[83] As a result, the teams fans unveiled a large stadium sized banner, bearing the image of Che along with the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Hammer_and_sickle"]hammer and sickle[/ame].[84]

  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Swedish_people"]Swedish[/ame] Olympic boxer Kwamena Turkson has the image of Che Guevara tattooed on his arm.[22]
Political praise


  • Former South African President [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nelson_Mandela"]Nelson Mandela[/ame] in 1991 on a visit to Havana declared that: "Che's life is an inspiration for every human being who loves freedom. We will always honor his memory."[116]

  • American civil rights activist [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jesse_Jackson"]Jesse Jackson[/ame], in a 1984 visit to the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/University_of_Havana"]University of Havana[/ame] declared: "Long live our cry of freedom. Long Live Che!"[117]

  • One week before his own assassination on October 15, 1987, in a speech marking the 20th anniversary of Guevara's execution, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Burkina_Faso"]Burkina Faso[/ame]'s revolutionary leader [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Thomas_Sankara"]Thomas Sankara[/ame] (himself coined "Africa's Che")[118] declared: "ideas cannot be killed, ideas never die."[119]
In everything else
Gael García Bernal (played Che in The Motorcycle Diaries): "How would Ernesto feel about having his face all over the world on a T-shirt?"
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Alberto_Granado"]Alberto Granado[/ame] (travel mate of Che who accompanied him): "Well, knowing him, I think he wouldn't mind, especially if it was a girl."[131]

  • On May 15, 1960, Che Guevara competed against acclaimed author [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Ernest_Hemingway"]Ernest Hemingway[/ame] at the "Hemingway Fishing Contest" in Havana, Cuba. The winner of the competition however was fellow boat mate [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Fidel_Castro"]Fidel Castro[/ame].[132]
 
Madule ni jina la kilugha lenye maana ya viazi vitamu.. huwa linanikumbusha enzi za utoto tukichunga mbuzi na n'gombe kule kikjijini. tulikuwa na kawaida ya kutengeneza kitu inaitwa kabunguja, hutengenzwa kutumia udongo ambapo ndani yake huwekwa moto hadi huwa ya mato red hot then tunaweka viazi tulivoiba mashmabani kwa watu, tuliluwa na style ya kuiba ambayo ilikuwa sio rahisi kukamatwa.kwa kuwa mashmaba mengi ya viazi yaliwa katikati ya shamba la mahindi ma mara nyingi wakina mama walikuwa ndio walinzi, style ilikuwa ni kwamba tukifika hapo tunaanza kusalimia kwa sauti kubwa ( mamaaa shikamooooo!, pole na kaziiiii! mara mamaa mbona upo kimyaaaa! naomba maji ya kunywa!, tukiona kimya tunajua salama, tunajisevia weee, tunahama kama km 3 hivi kutengeneza kabunguja!
Jamani maisha ya utotoni raha saaana. gone those good days

Ha ha ha ha ha Viazi Vitamu kumbe wewe ufisadi umeuanza siku nyingi sana tangu mwaka 47 tena katika mashamba ya watu...tena hata kabla ya neno "fisadi" halijawa maarufu kama liluvyo leo ha ha ha ha Haya Viazi vitamu weekend njema 🙂
 
Mwazange = kijiji kimoja nyanda za juu mashariki.....kina unasaba fulani hivi na mimi...
 
William Shakespeare aliwahi kuandika " Whats in a name? A rose can be called by any other name but still remain the sweet smelling flower".

Mi binafsi nilichagua Theodora maana am a woman lakini I have had great respect for former president Theodore Roosevelt - He made it against all odds, kiaina what I have also done in my life. Lakini kaka labda choice of name on JF inaendana na profile picture(to me naona hapo ndo tungecheki kama kuna correlation)
 
Kipimapembe - The device for measuring angles. Kati ya vifaa vilivyonitia kiwewe wakati najifunza hesabu huko shule ya msingi. I was really fascinated kujua kwa nini mtu awe interrested kujua pembe ina nyuzi ngapi na ilinipa shida sana kukitumia kitu hiki mara ya kwanza. Niliishia kuwa mshabiki mkubwa wa hesabu za Geometry na guess - Leo mi ni Mhandisi. Ingawa nilishaacha kazi za kihandisi (niko kwenye masoko) marafiki zangu tunaofanya nao kazi (Wengi ni accountants) huwa wanatiwa kiwewe na uwezo wangu katika kushughulika na namba pamoja na kuongea lugha ya kifundi. Na vile vile napenda unyofu, ikiwa pembe basi nijue ina nyuzi ngapi - perfectionist? aaah yeah, wengine huniita hivyo!
 
Silaha ya Masikini wote duniani ni kuwa na msimamo; Jeuri ya Masikini ni kutokubali kuonewa na mwenye nacho!
Masikini jeuri ni jina nililorithi toka Kwa Babu yangu; alikuwa masikini na alibahatika kupata watoto watano wote wa kike; Babu yangu alijitahidi kuwasomesha wote pamoja na itikadi potofu ya wakati huo ya kutomthamini mwanamke!

Najisikia fahari kumuenzi kupitia jina hili! Nimekuwa nikilitumia katika forums tofauti na wale waliobahatika kupiti Young African nililitumia sana huko pia.


Ahsante sana Mkuu nayaunga mkono yote uliyoyaandika endelea kuwa maskini jeuri usiyeyumbishwa katika misimamo yako mbali mbali. Babu yetu alikuwa na vision ya hali ya juu na kuona umuhimu w kuwasomesha mabinti zake.
 
Mimi nazani jina langu lina jieleza, Kibanga Ampiga Mkoloni, Nadhani mnakumbuka habari za huyu jamaa enzi zile za primary kwenye vitabu jamaa alimtoa nduki mkoloni kijiji kwao.

Naomba msaada hivi kama kuna post ina muabuse mtu tunafanyaje humu?
 
Tamka 'mtu be'. Ni jina walilonipa marafiki tangu nikiwa shule ya sekondari. Sababu zake zilikuwa mbili: Kwanza umbo langu la mazoezi, wenzangu walikuwa wanadai niko sawa na watu wawili. Pili nilikuwa na tabia (sijui mbaya?) ya kudai shea ya watu wawili wakati tunagaiwa nguna (ugali) kule DH (dining hall) la shule, kila mara nilimwambia mwanafunzi anayegawa nguna siku hiyo anijazie shea ya 'mtu be' (watu 2) kwenye sahani yangu ya bati (TG).

''E banae nigee shea ya mtu be mshkaji wangu, si unajua nimetoka kwenye tizi au vipi!''.

Basi ndio jina likashika tangu wakati huo, kuna wengine tuliosoma shule moja hadi leo hawanijui kwa jina lingine zaidi ya Mtu B.

Ha ha ha ha ha 🙂 umenikumbusha njemba mmoja kazini tulikuwa tunamuita kiwavi kwa jinsi alivyokuwa mzima kwenye kula. Yeye aliamini kutupa chakula ni dhambi. Hivyo tulikuwa tukienda kula mahotelini katika safari za kikazi katika mikoa mbali mbali nchini alikuwa akiomba mtu ambaye anaona chakula chake ni kingi hivyo hataweza kumaliza aombe sahani safi na kukiweka pembeni. Yeye atakishughulikia akishamaliza share yake. Wakati mwingi tulikuwa watu wanne au watano. Na kweli alikuwa anavipitia vyote na kisha kushusha kwa chupa mbili za maji baridi. Kuna watu wamejaliwa appetite ya hali ya juu.
 
Mwazange = kijiji kimoja nyanda za juu mashariki.....kina unasaba fulani hivi na mimi...

Je, jina au kijiji hiki kina uhusiano wowote na kilima cha 'Namzange' kinachotokona na neno 'kuzanga' yaani 'kut....'?
 
Back
Top Bottom