Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
u r welcome..
siku moja nitaanzisha thread...
u wait and see....
Thread about what?....economy,health or business?.....or me (The Binti Maringo)::::::::
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
u r welcome..
siku moja nitaanzisha thread...
u wait and see....
Thread about what?....economy,health or business?.....or me (The Binti Maringo)::::::::
about u binti maringo....
it will be official that no one should
disturb u,or else they will answer to me.
love is in the air
Ooh you are so sweet!....i am so looking forward to that thread and curious as well!.....u r the pefrct msukuma that been refering too!...yuhuuuuuu!.....
hiyo yuhuuuu..
ulivyoisema...
am thinking dirty....ha ha ha.
dont think dirty think romantic!...wit candle light,rose paddles and bottole of champagne!....
exclusive beach....,somewhere in seycheles......
I like Sant tropez! can you handle it??....ndani ya bikini...unacheza na maji na mchanga!
Hiyo nyimbo lazima umetunga! maana sijawahi kusikia hata siku moja....nani mtunzi na muimbaji?
nini st tropez...
i can buy u the whole of france if u want.....
am not called the boss for nothin.....
Shem ina maana hujawahi kuusikia wimbo huu wa Msondo Ngoma??
Penzi langu limekosa umaarufu kwa sababu sina hela ooh Binti Maringo
Sifa za uzuri wako zilinifanya niingie kichwakichwa bila kuuliza
Sasa umekuwa dalali unaunadi utu wangu ooh Binti Maringo(rudia tena)
Hapa nilipofika panatosha nisijefuga ugonjwa nikakosa dawa(rudia tena)
Najua nina kiu na wewe nitakunywa maji nitulie(rudia tena)
Maringo Binti Maringo nitakukumbuka daima,Maringo Binti Maringo nitakukumbuka daima,kwenye kitabu cha kumbukumbu mateso yako nitaandika,kwenye kitabu cha kumbukumbu mateso yako nitaandika
Dada Kawasaki alinikanya hapa mjini nenda polepole,utavamia walanguzi wa mapenzi waikaange roho yako inyauke kama mti

Binti Maringo!.....Ni kutokana na marafiki zangu kuniambia kuwa nina maringo sana so i came up with this name Binti Maringo kutokana na maringo yangu!.....Lakini i am people persona nd good sense of humour...don't try!
Binti Maringo hebu tufafanulie basi hayo maringo yako ni kwenye miondoko unatembea kama hutaki vile ha ha ha ha ha 🙂 au kula au kipi hasa kilichosababisha mpaka marafiki zako wakupe jina hilo la Binti Maringo. Natanguliza shukrani 😉
Majina ya wanangu yanaanza na herufi H, ninawapenda sana wanangu, so 'mamah' ndipo iliponijia.
Akitembea anakuwa ana twist kama vile yuko kwenye catwalk/ runway. Kama umeshawahi kumwona jinsi Naomi Campbell anavyotembea basi na binti Maringo naye hutembea hivyo hivyo..
Mama Joe is my real name. Ninapenda kuitwa mama na kwavile nashinda ofisini wananiita first name, hivo hapa niliona ndo chance! Na Joe ndo first born wangu na ninampenda sana. Pia nichangamoto kuwa nitachoandika kitakuwa ni kutoka kwa mama kweli.
Binti Maringo hebu tufafanulie basi hayo maringo yako ni kwenye miondoko unatembea kama hutaki vile ha ha ha ha ha 🙂 au kula au kipi hasa kilichosababisha mpaka marafiki zako wakupe jina hilo la Binti Maringo? Natanguliza shukrani 😉