Je, Jua ni Mungu?

How sun goes down? Jua lilipo limesimama alitembei sasa Joshua alisimamishaje kitu kisichomoves mkuu?

Sun is immobile.
Ulichoandika kinafikirisha, ila kwa logic ya zama hizo kabla wakina Galileo hawa jaja na hayo mapinduzi ya kisayansi jamii karibia zote zilikuwa zikiamini kuwa jua ndiyo linalo uzunguka ulimwengu. Kwa kutumia logic hiyo waandishi wakasema joshua alilisimamisha jua. Kwa maana nyingine kama ingekuwa kuna logic ya dunia kuzunguka jua wangeli sema joshua alisimamisha dunia.
 
ingependeza sana kama Mungu angekuwa ni jua ili wale wasiopata kuamini(matomaso) tuwaambie Mungu yule pale, lakini Mungu sio Jua, Mungu gani ukimsogelea unaungua?tutaketi vipi sasa kuume kwa baba Jua aunguzae???Lakini zaidi Mungu Ni Roho sio kitu physical kama jua
 
Nimestaajab namna ulivyoelezea kwa mapana zaid kiac kwamba umenishawishi.
Kiukweli hata Mimi huwa nashawishika sana kuamini haya maelezo yangu. They makes a lot of senses.

Sisi binadamu we are energy.. Tena Divine energy.. Na jua ndio biggest source of energy ever... Na moja kati ya sifa ya jua kama energy halifi wala halizaliwi.

Energy can neither be created nor destroyed.. It can only be transformed. Tukifa ndio tunakuwa transformed from physical to energy spiritual.

Thus Mungu ni milele na sisi binadamu ni milele pale tu tutakapoishi rohoni kule Mungu anapoishi.

Ahahaha!! Its rational to believe this way.
 
ili tupate ukweli wa hadithi zako za kufirika je wewe usharuhusu akili yako nakuanza kuruhusu mwanga wa jua ukupige masaa ma 3 kwa mda wa miezi 8 ili uwe spiritual awaken and powerfull?
 
basi namimi ntaanza na baada ya miezi 8 ntakuja kujibu
Sasa ukakae kwenye lile jua la utosi ndio utajua kwanini Mungu anajirefer kama moto ulao.

Kuna principle zake sio unakaa tu juani kama una homa..utababuka mkuu. [emoji23] [emoji23]
 
Mimi kutoka mitandaoni nimesoma kuhusu mungu mkuu mwezi na akamuoa mungu jike jua wakajaliwa kupata watoto mabinti watatu ambao ni nyota na majina yao Al Lat, Al Uzza na Manat. Huyu mungu mwezi aliabudiwa uarabuni yote na inasemekana ndiye alikuwa mungu aliye abudiwa na Ibrahim kabla ya kuitwa na Mungu wa mbinguni kuwa atoke huko kwao na aende atakapo elekezwa. Alama ya huyu mungu mwezi ilikuwa ni mwezi mchanga/Cresent na nyota.

Inasemekana shrine yake ilikuwa eneo linaitwa al qabba na kulikuwa na miungu mengine midogo midogo ikiabudiwa sambamba na huyu moon god ikiwa idadi yake ni 360, vyote vikiabudiwa katika hiyo shrine. Huyu mungu mwezi alikuwa na jina lingine maarufu ndio ninalitafuta bado sijalipata.
Google moon god and sun goddess kwa maelezo zaidi.
 
Jua haliwezi kuwa mungu,hata iweje litabaki kuwa sayari kama sayari nyingine licha ya huo ukubwa unaousemea,hivi kutokana na hiyo power uliyosema inazalishwa hapo nani ambae aliweza kufika kwenye jua na kupima mpaka kugundua ukubwa wake kuwa ni zaid ya mil 3,000,000 za sayari tunayoishi(dunia)
 
Mungu mwezi ambaye ni dume na mungu jua ambaye ni jike pamoja na mabiti wao watatu ambao ni nyota wanaunda utata wa kiovu wa shetani/ibilisi. Na ili kumfikia huyu mungu mwezi lazima upitie kwa hawa mabiti watatu/nyota/ wao ni intercessor (wanawaombea waumini/wafuasi wao kwa niaba.)

Kwa sababu hii Abraham na baadaye Ibrahim, kuitwa kwake Baba wa Imani ni haki na stahiki yake. Maana kabla ya kuitwa na Mungu kama ilivyo kuwa kwa Sauli na baadaye Paulo alikuwa ni muumini wa kweli na mtiifu sana wa imani yake ya kumuamini mungu mwezi na utatu wake.

Hivyo basi Ibrahim ni Baba wa imani wa dini tatu yaani Uyahudi, Ukristo na Uislam na kati ya hizi dini tatu ziko ambazo ni Baba wa Imani akiwa hajaitwa na Mungu na ziko ambazo ni Baba wa Imani baada ya kuitwa na Mungu.

Ingawa hila ya shetani imetumika kwa umahiri mkubwa sana kuuficha huu ukweli, mwenye kufahamu na afahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…