Je, Jua ni Mungu?

Je, Jua ni Mungu?

How sun goes down? Jua lilipo limesimama alitembei sasa Joshua alisimamishaje kitu kisichomoves mkuu?

Sun is immobile.
Ulichoandika kinafikirisha, ila kwa logic ya zama hizo kabla wakina Galileo hawa jaja na hayo mapinduzi ya kisayansi jamii karibia zote zilikuwa zikiamini kuwa jua ndiyo linalo uzunguka ulimwengu. Kwa kutumia logic hiyo waandishi wakasema joshua alilisimamisha jua. Kwa maana nyingine kama ingekuwa kuna logic ya dunia kuzunguka jua wangeli sema joshua alisimamisha dunia.
 
ingependeza sana kama Mungu angekuwa ni jua ili wale wasiopata kuamini(matomaso) tuwaambie Mungu yule pale, lakini Mungu sio Jua, Mungu gani ukimsogelea unaungua?tutaketi vipi sasa kuume kwa baba Jua aunguzae???Lakini zaidi Mungu Ni Roho sio kitu physical kama jua
 
Nimestaajab namna ulivyoelezea kwa mapana zaid kiac kwamba umenishawishi.
Kiukweli hata Mimi huwa nashawishika sana kuamini haya maelezo yangu. They makes a lot of senses.

Sisi binadamu we are energy.. Tena Divine energy.. Na jua ndio biggest source of energy ever... Na moja kati ya sifa ya jua kama energy halifi wala halizaliwi.

Energy can neither be created nor destroyed.. It can only be transformed. Tukifa ndio tunakuwa transformed from physical to energy spiritual.

Thus Mungu ni milele na sisi binadamu ni milele pale tu tutakapoishi rohoni kule Mungu anapoishi.

Ahahaha!! Its rational to believe this way.
 
Jua ni miongoni mwa nyota kubwa kuliko zote kwenye solar system ndio chanzo cha energy na maisha ya hapa Duniani na ulimwengu mzima na ikitokea jua limezima basi maisha ya ulimwengu mzima yanakoma. Mimea na miili ya binadamu inategemea mwanga jua kuendelea kuishi na sio mwanga wa Tanesco..kwanini ni mwanga wa jua peke yake..Mwanga wa jua una siri gani kubwa ya uhai na kuuisha inayoitofautisha na mianga mingine? Na lina mahusiano gani na utukufu wa kimungu? Na kwanini jamii nyingi Duniani zilifikia hatua ya kuliabudu kama Mungu? Na kwanini walipata majibu yao na kuishi kwa amani kuliko sisi? Kuna maswali mengi sana yanaibuka hapa.

Ila jua ni nyota kubwa kuliko zote inaaminika Dunia ili ilingane na jua inabidi ziwe dunia milioni 3,000,000/= dunia ni moto mkali sana unaowaka kwa miaka zaidi ya billion 5 bila kukoma I kutengeneza yenyewe hii energy kwa mfumo wa nuclear fission kwa kuzigonganisha hydrogen into helium na kutengeneza megawatts za energy 386 billion billion of megawatts kwa siku kiasi hili cha nguvu dunia toka kuumbwa hadi Leo haijawahi kutengeneza ilhali jua linatengeneza kwa siku na kinasafiri kwa sekunde kutoka miles ya jua lilipo hadi Duniani. Energy hii inaitwa cosmos sometimes ambayo ni sawa na energy rays ya rohoni ya binadamu inayofahamika kama "Aura" ndio maana binadamu akitizama na kuruhusu mionzi ya jua ya asubuhi impige kila siku kwa masaa matatu kwa miezi nane anakuwa spiritual awaken and powerful maana minzi hii ya jua ina ushabihianisho na mionzi ya energy ya roho ya binadamu. Swali je mionzi ya jua ndio supreme energy( Mungu)?
0f1c30b6744f8502a8256fa05f263eb5.jpg


Jua likioneshwa likiwa katikati ya sayari na nyota zote likizivuta kwa uga wake mkali wa sumaku zije katika USO wake na vyote hivi havina support yeyote ilivishikilia vinaelea angani kwa utukufu mkubwa na jua kutaka kuthibitisha Uboss wake sayari na nyota zote zinazunguka isipokuwa jua pekee ndio lipo limekaa pale pale kibosi.

Dini zote za zamani zinakubaliana kwamba jua ni Mungu na wakaita "Sun God " na ndio ikazaliwa "Sun day" siku ya jua ambapo watu hawakuruhusiwa kufanya kazi bali waende wakalisujudie na kulitukuza jua kwa matendo makuu linalowafanyia hii hata Ancient Roman waliamini sun is God ndio maana hata Jesus baada ya kuzaliwa na kufanya makubwa wakamwita "Son God' ambapo baadae aliitwa the Son of God"

f1e0dcd8b9f7f05a0bce72c88c06910c.jpg


Picha ya zamani Roman bikira mariamu akiwa kambeba mwanae na kukumbatia jua kwa wakati mmoja.

98a6d723baa72cda3d98a2dc3013614d.jpg


Kiti kilichoko Vatican cha Papa anachokalia kikiwa na mchoro wa jua kwa nyuma yake.

d15e8ee62a4f9215a174da918fff9dcf.jpg


Jesus kabebwa akiwa kazungukwa na jua kichwani pake.

75a1b66f6bfa2bad9aff9d18712d1928.jpg
Jua likiwa linaonekana altareni.

Hata Egypt ya kale waliamini katika jua kuwa Mungu na walimwita "Ra" waliamini jua ndio Mungu mkuu kuliko wote aliewaumba hata wale miungu walikuwa wanaabudiwa pale Egypt wote wanapaswa kumuabudu Sun God anaitwa "Ra".

67b831f25be6c233a084c208bb1f41db.jpg


Michoro ya kwenye madhabu ya Egypt ikionesha watu wa zamani wakiabudu jua.

81ca432ead37eaaabd6780c007a9c371.jpg


Mchoro wa mfalme wa Egypt ambaeni Deity akiwa kalibeba jua kichwani pale kuonyesha utukufu wa Mungu.

Japan waliamini Sun God anaitwa "Amaterusi"waliamini ndio Mungu alieumba viumbe vyote kwa na mwenye nguvu zisizomithilika.

Libya kwenye makabauri ya wale mummies wote wafalme zamani wa kiume na wa kike baada ya kufukuliwa walikutwa na Sun tattoos zinazotoa alama ya Sun worship.

c0873af6d93324fce46b6d5105036c06.jpg


Kuna mengi sana ya kuzungumza na kushare kuhusiana na jua na utukufu wake wa kimungu na kuaminiwa na kuabudiwa jamii nyingi za zamani Duniani kama Mungu na maisha yao yalikuwa mazuri na yenye siha njema.

Na dini zote hizi za kisasa pia zimetoka kwenye sun worshipers which makes more sense kwangu kuamini this energy ya jua ndio energy kubwa kuliko zote Duniani hivyo since God ndio mwenye energy kubwa kuliko zote kwanini Jua lisiwe na uungu ndani yake!? Nahisi napaswa kuacha dini za kimapokeo na kuamini kwa Sun God kama huyu bwana hapa

076c539e3e3ad7b4e5303db53c47d912.jpg
Maana it makes more sense sisi binadamu kihualisia ni nguvu yaani energy ya rohoni kwanini nguvu kuu inayofanana na sisi isiwe baba yetu? Sun is God
db97541a77bf38b7cb55738708e6ffb8.jpg
.

Rejea nyimbo ya alpha blondy Masada utaona hata yeye anapoint ya msingi juu ya uungu wa jua. Rejea nyimbo ya Bob Marley talking blues.
ili tupate ukweli wa hadithi zako za kufirika je wewe usharuhusu akili yako nakuanza kuruhusu mwanga wa jua ukupige masaa ma 3 kwa mda wa miezi 8 ili uwe spiritual awaken and powerfull?
 
basi namimi ntaanza na baada ya miezi 8 ntakuja kujibu
Sasa ukakae kwenye lile jua la utosi ndio utajua kwanini Mungu anajirefer kama moto ulao.

Kuna principle zake sio unakaa tu juani kama una homa..utababuka mkuu. [emoji23] [emoji23]
 
Mimi kutoka mitandaoni nimesoma kuhusu mungu mkuu mwezi na akamuoa mungu jike jua wakajaliwa kupata watoto mabinti watatu ambao ni nyota na majina yao Al Lat, Al Uzza na Manat. Huyu mungu mwezi aliabudiwa uarabuni yote na inasemekana ndiye alikuwa mungu aliye abudiwa na Ibrahim kabla ya kuitwa na Mungu wa mbinguni kuwa atoke huko kwao na aende atakapo elekezwa. Alama ya huyu mungu mwezi ilikuwa ni mwezi mchanga/Cresent na nyota.

Inasemekana shrine yake ilikuwa eneo linaitwa al qabba na kulikuwa na miungu mengine midogo midogo ikiabudiwa sambamba na huyu moon god ikiwa idadi yake ni 360, vyote vikiabudiwa katika hiyo shrine. Huyu mungu mwezi alikuwa na jina lingine maarufu ndio ninalitafuta bado sijalipata.
Google moon god and sun goddess kwa maelezo zaidi.
 
Jua haliwezi kuwa mungu,hata iweje litabaki kuwa sayari kama sayari nyingine licha ya huo ukubwa unaousemea,hivi kutokana na hiyo power uliyosema inazalishwa hapo nani ambae aliweza kufika kwenye jua na kupima mpaka kugundua ukubwa wake kuwa ni zaid ya mil 3,000,000 za sayari tunayoishi(dunia)
 
Mungu mwezi ambaye ni dume na mungu jua ambaye ni jike pamoja na mabiti wao watatu ambao ni nyota wanaunda utata wa kiovu wa shetani/ibilisi. Na ili kumfikia huyu mungu mwezi lazima upitie kwa hawa mabiti watatu/nyota/ wao ni intercessor (wanawaombea waumini/wafuasi wao kwa niaba.)

Kwa sababu hii Abraham na baadaye Ibrahim, kuitwa kwake Baba wa Imani ni haki na stahiki yake. Maana kabla ya kuitwa na Mungu kama ilivyo kuwa kwa Sauli na baadaye Paulo alikuwa ni muumini wa kweli na mtiifu sana wa imani yake ya kumuamini mungu mwezi na utatu wake.

Hivyo basi Ibrahim ni Baba wa imani wa dini tatu yaani Uyahudi, Ukristo na Uislam na kati ya hizi dini tatu ziko ambazo ni Baba wa Imani akiwa hajaitwa na Mungu na ziko ambazo ni Baba wa Imani baada ya kuitwa na Mungu.

Ingawa hila ya shetani imetumika kwa umahiri mkubwa sana kuuficha huu ukweli, mwenye kufahamu na afahamu.
 
Back
Top Bottom