Msiwaingize wanajeshi wetu kwemye mambo yenu ya chama.Ndugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?
Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
Acha taratibu za CCM Kila mtu anazifahamu usijitoe akili, kiufupi utaratibu ulivurugwa na Katiba haikufuatwa ,Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi, watamtumikia Rais aliyevunja Katiba ? Au ndio mwanzo wa mapinduzi?Chadema kweli nyie ni vichwa bange, mkutano mkuu ndiyo wenye maamuzi ya mwisho ndani ya chama na maamuzi yake ni ya mwisho! Kwa nini mnajisumbua bure kutaka kuchonganisha Watanzania? CCM ni chama cha kisiasa, kina taratibu zake, kinaweza kupindisha katiba yake kikiona kuna ulazima na tija endapo suala husika litasadia kuokoa muda. Hata Chadema mmewaweza kuamua lolote endapo wajumbe wenu watatimiza katika kufanya lile au badiliko mnalokusudia.
Bongo lolote mkuu linawezekanaNdugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?
Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
nakushauri bure achana na siasa kama akili ndio hiziCHADEMA KWELI NYIE NI VICHWA BANGE,MKUTANO MKUU NDIYO WENYE MAAMUZI YA MWISHO NDANI YA CHAMA NA MAAMUZI YAKE NI YA MWISHO!,KWANINI MNAJISUMBUA BURE KUTAKA KUCHONGANISHA WATANZANIA?,CCM NI CHAMA CHA KISIASA,KINA TARATIBU ZAKE,KINAWEZA KUPINDISHA KATIBA YAKE KIKIONA KUNA ULAZIMA NA TIJA ENDAPO SUALA HUSIKA LITASAIDIA KUOKOA MUDA,HATA CHADEMA MMAWEZA KUAMUA LOLOTE ENDAPO WAJUMBE WENU WATATIMIA KATIKA KUFANYA LILE AU BADILIKO MNALOKUSUDIA.
Huo unayemlenga ni nani? Na amevunja katiba ipi na ibara gani?Ndugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?
Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
Mkutano mkuu ndio upo na maamuzi katika chama ila sio maamuzi yanayopitiliza kuvunja katiba ya nchi ,unasikia we chawa mzoefu, chama chochote kinaweza kufa ila sio nchi .CHADEMA KWELI NYIE NI VICHWA BANGE,MKUTANO MKUU NDIYO WENYE MAAMUZI YA MWISHO NDANI YA CHAMA NA MAAMUZI YAKE NI YA MWISHO!,KWANINI MNAJISUMBUA BURE KUTAKA KUCHONGANISHA WATANZANIA?,CCM NI CHAMA CHA KISIASA,KINA TARATIBU ZAKE,KINAWEZA KUPINDISHA KATIBA YAKE KIKIONA KUNA ULAZIMA NA TIJA ENDAPO SUALA HUSIKA LITASAIDIA KUOKOA MUDA,HATA CHADEMA MMAWEZA KUAMUA LOLOTE ENDAPO WAJUMBE WENU WATATIMIA KATIKA KUFANYA LILE AU BADILIKO MNALOKUSUDIA.
Kasome ibara ya 99 ongezea ibara ya 100(5) ya katiba ya ccmnakushauri bure achana na siasa kama akili ndio hizi
JWTZ hii hii ya CCM? au ya nchi nyingine?JWTZ HAWAWEZ LINDA KITU HARAMU, HARAMU NI HARAMU.
Kuna katiba ya chama cha siasa, (CCM), na katiba ya nchi usichangayeNdugu Wana ukumbi
Nina swali kwenu , Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi ?
Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi ?
Acha ulofa we mfuasi wa maudenda..Mkutano mkuu ndio upo na maamuzi katika chama ila sio maamuzi yanayopitiliza kuvunja katiba ya nchi ,unasikia we chawa mzoefu, chama chochote kinaweza kufa ila sio nchi .
Ikumbukwe vyama vinaundwa chini ya katiba ya nchi , msajiri anatakiwa kukifuta chama cha ccm mara moja vinginevyo atajua Mungu yupo, hatuwezi endesha mambo ya msingi katika nchi kihuni.
Tz vyama vya siasa ndo vinaweza kutoa kiongozi mkuu wa nchi maana hatuna sheria ya mgombea binfsi , sasa kama tunaweza kuwa na vyama ambavyo vinajiendesha kihuni ,ofisi ya msajili kazi yake nini sasa, futa ccm mara moja
Tena alisema Kwa kumanishaa mkuu😀😀Katiba ni kijitabu tuu