Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

Kweli kabisa hayo ni maneno ya upinzani kuonesha kujutia kwanini waligomea uchaguzi
 
unazungumzia chombo kipi cha usalama wakati chombo kikuu cha usalama wa Rais na nchi kinatokea JWTZ.
Hakuna unachokifahamu vyombo vya dola vina mgawanyo wa kiutendaji.

👉Mamlaka ya kulinda viongozi wa nchi ipo TISS.

👉 mamlaka ya kulinda raia ipo polisi ndio maana Viongozi wa juu wa nchi wana Polisi na TISS katika misafara yao na hata kwenye makaazi yao. Viongozi wa nchi pia ni raia wanaohitaji ulinzi wa polisi.

👉Jwtz walinzi mipakani.
 
Hadi fisi wanaichukia CCM!

Chadema kweli nyie ni vichwa bange, mkutano mkuu ndiyo wenye maamuzi ya mwisho ndani ya chama na maamuzi yake ni ya mwisho! Kwa nini mnajisumbua bure kutaka kuchonganisha Watanzania? CCM ni chama cha kisiasa, kina taratibu zake, kinaweza kupindisha katiba yake kikiona kuna ulazima na tija endapo suala husika litasadia kuokoa muda. Hata Chadema mmewaweza kuamua lolote endapo wajumbe wenu watatimiza katika kufanya lile au badiliko mnalokusudia.
Kwani Polepole na kina Lusinde ni CDM siku hizi??
 
Chadema kweli nyie ni vichwa bange, mkutano mkuu ndiyo wenye maamuzi ya mwisho ndani ya chama na maamuzi yake ni ya mwisho! Kwa nini mnajisumbua bure kutaka kuchonganisha Watanzania? CCM ni chama cha kisiasa, kina taratibu zake, kinaweza kupindisha katiba yake kikiona kuna ulazima na tija endapo suala husika litasadia kuokoa muda. Hata Chadema mmewaweza kuamua lolote endapo wajumbe wenu watatimiza katika kufanya lile au badiliko mnalokusudia.
Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom