Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

Je JWTZ wako tayari kumlinda aliyevunja Katiba?

CHADEMA KWELI NYIE NI VICHWA BANGE,MKUTANO MKUU NDIYO WENYE MAAMUZI YA MWISHO NDANI YA CHAMA NA MAAMUZI YAKE NI YA MWISHO!,KWANINI MNAJISUMBUA BURE KUTAKA KUCHONGANISHA WATANZANIA?,CCM NI CHAMA CHA KISIASA,KINA TARATIBU ZAKE,KINAWEZA KUPINDISHA KATIBA YAKE KIKIONA KUNA ULAZIMA NA TIJA ENDAPO SUALA HUSIKA LITASAIDIA KUOKOA MUDA,HATA CHADEMA MMAWEZA KUAMUA LOLOTE ENDAPO WAJUMBE WENU WATATIMIA KATIKA KUFANYA LILE AU BADILIKO MNALOKUSUDIA.
Ccm wao sawa ila Chadema noo...kuweni wangwana nyinyi wafuasi wa ccm.
 
Nikiona siku wanakemea hadharani mabaya ya viongozi nitajua kweli wapo kwa ajili ya wananchi tofauti na hapo
 
CHADEMA KWELI NYIE NI VICHWA BANGE,MKUTANO MKUU NDIYO WENYE MAAMUZI YA MWISHO NDANI YA CHAMA NA MAAMUZI YAKE NI YA MWISHO!,KWANINI MNAJISUMBUA BURE KUTAKA KUCHONGANISHA WATANZANIA?,CCM NI CHAMA CHA KISIASA,KINA TARATIBU ZAKE,KINAWEZA KUPINDISHA KATIBA YAKE KIKIONA KUNA ULAZIMA NA TIJA ENDAPO SUALA HUSIKA LITASAIDIA KUOKOA MUDA,HATA CHADEMA MMAWEZA KUAMUA LOLOTE ENDAPO WAJUMBE WENU WATATIMIA KATIKA KUFANYA LILE AU BADILIKO MNALOKUSUDIA.
Usijidanganye msajili aione chadema inafanya kama Chama tawala aiache haitakokea
 
Huyo kora nyekundu mstaafu hakuwa mzalendo, alinyamazishwa kwa kupewa cheo dhariri tena kwenye eneo la nchi ambalo kuna utata mkubwa kufurushwa wenyeji na kupewa wageni.
Samia yupo kikatiba. Mabeyo atakumbukwa na vitabu vya historia aliamua kuheshimu mtiririko wa kikatiba katika suala zima la kuhakikisha Samia anamrithi hayati JPM.

Wajinga na wabinafsi walitaka tuingie gharama nyingine za kufanya uchaguzi wakati miezi mitano kabla tulikuwa tumemchagua JPM kuwa rais wa JMT.
 
Kama yuko kihalali kwa mjibu wa katiba (by default) kwanini ameharibu mchakato wa kumtafuta mgombea kiti cha urais kwa kujiteua kisha akampa Mmkwere kumtangaza bila kufuata utaratibu?
 
Usijidanganye msajili aione chadema inafanya kama Chama tawala aiache haitakokea
Kusanyeni wajumbe toka mikoa yote mfanye mkutano wa dharura wa kutokuwa na imani na mwenyekiti na atoke kwenye chama anaua chama waziwazi kwa misimamo yale isiyo na tija yoyote!...
 
Kama yuko kihalali kwa mjibu wa katiba (by default) kwanini ameharibu mchakato wa kumtafuta mgombea kiti cha urais kwa kujiteua kisha akampa Mmkwere kumtangaza bila kufuata utaratibu?
Huo mchakato ungepunguza kitu gani katika wasifu wake wa kisiasa?, mwenyekiti wa CCM ana nguvu na ushawishi mkubwa sana nchini, usidanganywe na hizi story za whatsapp na instagram.

Wabongo tunapenda sana mada za kuongea hatujali ukubwa au udogo wa kile kinachojadiliwa.
 
Hv Kwanini waliogopa mchakato wakapita shortcut, walihisi watu watamwaga mboga nn
 
Ndugu Wana ukumbi,

Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?

Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
Hajavunja katiba ya nchi, mjifunze kutofautisha chama na serikali.
 
Hajavunja katiba ya nchi, mjifunze kutofautisha chama na serikali.
Uwezo wako ni mdogo kutambua haya , mgombea wa urais hawezi kupitishwa huku Bunge likiwa hai lazima livunjwe kwanza , Yeye kajipitisha 19 Jan 2025 Bunge likiwa halijavunjwa yaani hadi Sasa ni ubatili wa Katiba mchakato wa wabunge CCM ukiendelea wakati bumge halijavunjwa
 
Miaka yote iyo JW na TWISS wana shuhudia tuki pigwa mnada kuna kitu wame fanya ? Bilione awambura na kuanzia 1 star general hawana huo mda
 
Wewe ndio kichwa panzi hujitambui pamoja na kwamba umo ndani ya joka la kijani.
1. Hakuna mtu anayepinga kwamba mkutano mkuu wa chama chenu cha maovu ndio wenye maamuzi ya mwisho
2. Kinachohojiwa ni kwamba je, utaratibu ulizingatiwa?
3. Tangazo lilitolewa lini na nani aliomba ueteuzi kuwa mgombea wa kiti cha urais?
4. Kamati kuu ilipelekewa jmajina au jina wakajadili na kubariki pendekezo?
5. Lini Halmashauri kuu ya taifa ilipelekewa majina au jina pendekezwa wakajadili na kupitisha jina hilo kisha kupeleka kwenye kikao cha juu zaidi
6. Wagombea au mgombea alichukua Fomu ya kugombea lini na akatafuta wadhamini angalau 200 kwa mikoa 10 Tanganyika na Zanzibar kwa pamoja kisha kurejesha Fomu hizo chamani zikiwa zimekidhi udhamini unaotakiwa?
7. Siku ya kikao cha mkutano mkuu kilichokuwa na ajenda ya kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama kwanini ajenda ya uteuzi wa jina la mgombea wa ccm kwenye nafasi ya urais haikuwemo ili wajumbe waliotishwa wangejiandaa kutafakari kwa kujadili na kupitisha au kupinga?

CCM ndio ndio genge la uvunjifu wa sheria, kanuni, taratibu, utamaduni na katiba ya nchi kwa kujikweza kwamba wana hati miliki ya Tanzania kitu ambacho sio sahihi. Mmekosea....period!!
Yote yamefanyika jaji Mutungi amekaa kimya
 
Ndugu Wana ukumbi,

Nina swali kwenu, Je JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi vinaweza kula kiapo cha kumtumikia na kumlinda Rais aliyeingia madarakani kwa kuvunja Katiba ya nchi?

Wakati wao huapa kuilinda Katiba ya nchi?
Ni kifungu gani kwenye katiba ya nchi kimevunjwa mkuu?
 
Back
Top Bottom