Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Wewe ndio kichwa panzi hujitambui pamoja na kwamba umo ndani ya joka la kijani.CHADEMA KWELI NYIE NI VICHWA BANGE,MKUTANO MKUU NDIYO WENYE MAAMUZI YA MWISHO NDANI YA CHAMA NA MAAMUZI YAKE NI YA MWISHO!,KWANINI MNAJISUMBUA BURE KUTAKA KUCHONGANISHA WATANZANIA?,CCM NI CHAMA CHA KISIASA,KINA TARATIBU ZAKE,KINAWEZA KUPINDISHA KATIBA YAKE KIKIONA KUNA ULAZIMA NA TIJA ENDAPO SUALA HUSIKA LITASAIDIA KUOKOA MUDA,HATA CHADEMA MMAWEZA KUAMUA LOLOTE ENDAPO WAJUMBE WENU WATATIMIA KATIKA KUFANYA LILE AU BADILIKO MNALOKUSUDIA.
1. Hakuna mtu anayepinga kwamba mkutano mkuu wa chama chenu cha maovu ndio wenye maamuzi ya mwisho
2. Kinachohojiwa ni kwamba je, utaratibu ulizingatiwa?
3. Tangazo lilitolewa lini na nani aliomba ueteuzi kuwa mgombea wa kiti cha urais?
4. Kamati kuu ilipelekewa jmajina au jina wakajadili na kubariki pendekezo?
5. Lini Halmashauri kuu ya taifa ilipelekewa majina au jina pendekezwa wakajadili na kupitisha jina hilo kisha kupeleka kwenye kikao cha juu zaidi
6. Wagombea au mgombea alichukua Fomu ya kugombea lini na akatafuta wadhamini angalau 200 kwa mikoa 10 Tanganyika na Zanzibar kwa pamoja kisha kurejesha Fomu hizo chamani zikiwa zimekidhi udhamini unaotakiwa?
7. Siku ya kikao cha mkutano mkuu kilichokuwa na ajenda ya kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama kwanini ajenda ya uteuzi wa jina la mgombea wa ccm kwenye nafasi ya urais haikuwemo ili wajumbe waliotishwa wangejiandaa kutafakari kwa kujadili na kupitisha au kupinga?
CCM ndio ndio genge la uvunjifu wa sheria, kanuni, taratibu, utamaduni na katiba ya nchi kwa kujikweza kwamba wana hati miliki ya Tanzania kitu ambacho sio sahihi. Mmekosea....period!!