Kwani Wameshindwana nn, Labda tuanzie hapo.Hakuna jambo rahisi kwenye changamoto inayohitaji maamuzi magumu. Kama mtu habadiliki wanini na umeshampa muda?
Inategemea na mtu ulie nae. Kuomba msamaha hakutoshi kama hutoonyesha kubadilika.
Mwanaume unaomba msamaha mara moja tu, mara nyingi kutashusha dhamani yako
Lakin pia kama mwenzako hataki ya ishe mpe space, usijiependekeze sana kwake punguza attention. Kama anataka kuendelea atabadilika lakin kama hataki sepa
Asante sana kwa Mchango wako nimekuelewa vizuriInategemea na mtu ulie nae. Kuomba msamaha hakutoshi kama hutoonyesha kubadilika.
Mwanaume unaomba msamaha mara moja tu, mara nyingi kutashusha dhamani yako
Lakin pia kama mwenzako hataki ya ishe mpe space, usijiependekeze sana kwake punguza attention. Kama anataka kuendelea atabadilika lakin kama hataki sepa kabisa
kwa ushauriPiga chini huyo unamuendekeza hajielewi
Nakubaliana naweweNi KWELI,Kama msamaha umesha MBA,lkn hataki.wewe tulia tu
🤣😅 kabla ya maamuzi sijaona vibaya kuja kuchukua busara zenukusikia kwa kenge mpaka atoke damu, toka jana unaambiwa kuwa mwanamke huyo achana naye lakini hutaki kuelewa sasa naanza kuelewa tatizo linalokusumbua ni wewe kuwa GIGOLO.
Hakuna kesi kubwa ni zakawaida tu sema jambo linaweza kuanza dogo likageuka kubwaKwani Wameshindwana nn, Labda tuanzie hapo.
SawaWewe kama wewe...sema nyie ma madam wa kinyaki mnajiamini sana af viburi kama vyoteee... msamehe mshkaji
🤣🤣🤣🤣Kama ndo yule mwenye mtt 1 juiingeze kasharudian na baba wtt wake
Mademu wengi babu, tafuta mwingine.Hakuna kesi kubwa ni zakawaida tu sema jambo linaweza kuanza dogo likageuka kubwa
Asante sana mkuu nimekuelewa vizuriMkuu pole sana Mahusiano yanakutesa sana inaonekana. Formula ni hii kama mwanaume mapenzi kwako yawe last option usiyaforce kabisa.
Hawa wanawake wanatabia hii pale ambapo unaonesha kumpenda sana, kumjali ataanza kukuona boya. Hapo ambapo unamlazisha muyamalize unazidi kumweka mbali na wewe. Hapo anaona bila yeye wewe ni punda atakutesa sana.
Hapa inatakiwa uendelee na maisha yako kama ni kutafuta hela tafuta kwa hasira. Kula kwa bidii fanya mazoezi, toka out na marafiki zako have funny. Taratibu utazoea na utaenjoy maisha, fanya mambo yako sahau kama ulishawai kuwa naye.
Akikutext usimjibu haraka wewe endelea na mambo yako ikiwezekana mjibu badae sana. Usimpigie simu wala kutuma msg, kama anakupenda atakutafuta mwenyewe myajenge. Hicho kitendo unachofanya unakosea hapo ndo unafanya upendo juu yako uendelee kufa.
Usiumize kichwa kama wako ni wako tu. Ukianza huo ujinga wa kumpigia simu na kumlazimisha utampoteza.
Thank youSasa kama hakujibu si wazi kua bado hajarodhia[emoji28]
Leave the table where respect is not served
Asante sana mkuu nimekuelewa vizuri
Ni yile single mother wako mwenye watoto wanne mkuu?Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali [emoji120]