Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

Asante sana kwa
Inategemea na mtu ulie nae. Kuomba msamaha hakutoshi kama hutoonyesha kubadilika.
Mwanaume unaomba msamaha mara moja tu, mara nyingi kutashusha dhamani yako

Lakin pia kama mwenzako hataki ya ishe mpe space, usijiependekeze sana kwake punguza attention. Kama anataka kuendelea atabadilika lakin kama hataki sepa

Inategemea na mtu ulie nae. Kuomba msamaha hakutoshi kama hutoonyesha kubadilika.
Mwanaume unaomba msamaha mara moja tu, mara nyingi kutashusha dhamani yako

Lakin pia kama mwenzako hataki ya ishe mpe space, usijiependekeze sana kwake punguza attention. Kama anataka kuendelea atabadilika lakin kama hataki sepa kabisa
Asante sana kwa Mchango wako nimekuelewa vizuri
 
kusikia kwa kenge mpaka atoke damu, toka jana unaambiwa kuwa mwanamke huyo achana naye lakini hutaki kuelewa sasa naanza kuelewa tatizo linalokusumbua ni wewe kuwa GIGOLO.
🤣😅 kabla ya maamuzi sijaona vibaya kuja kuchukua busara zenu
 
Songa mbele ndugu ukimuona mwanamke wako hataki suluhu jua kuna mwamba anamtia kibri.Nikupe stori kuna rafiki yangu alikuwa anamtaka kabinti yuko twenty years halafu mshikaji wangu ni mkubwa akawa anamcheki yule kisichana sasa kuna siku tukakipanga kile kisichana tukakipeleka out maeneo executive plus kausafiri juu.Tulivyokuwa out kale kasichana kakawa kanapigiwa simu na mchizi wake ikawa hapokei basi mshikaji akamaindi,yule msichana hakumtafuta tena mshikaji ila mshikaji ikawa anamcheki demu halafu demu anamzingua mwamba kwa kuwa alishakuwa na mshikaji wangu plus outing ..kiufupi demu akimpata anayekuzidi huwa anakupotezea mazima.
 
Mkuu pole sana Mahusiano yanakutesa sana inaonekana. Formula ni hii kama mwanaume mapenzi kwako yawe last option usiyaforce kabisa.

Hawa wanawake wanatabia hii pale ambapo unaonesha kumpenda sana, kumjali ataanza kukuona boya. Hapo ambapo unamlazisha muyamalize unazidi kumweka mbali na wewe. Hapo anaona bila yeye wewe ni punda atakutesa sana.

Hapa inatakiwa uendelee na maisha yako kama ni kutafuta hela tafuta kwa hasira. Kula kwa bidii fanya mazoezi, toka out na marafiki zako have funny. Taratibu utazoea na utaenjoy maisha, fanya mambo yako sahau kama ulishawai kuwa naye.

Akikutext usimjibu haraka wewe endelea na mambo yako ikiwezekana mjibu badae sana. Usimpigie simu wala kutuma msg, kama anakupenda atakutafuta mwenyewe myajenge. Hicho kitendo unachofanya unakosea hapo ndo unafanya upendo juu yako uendelee kufa.

Usiumize kichwa kama wako ni wako tu. Ukianza huo ujinga wa kumpigia simu na kumlazimisha utampoteza.
 
Asante sana mkuu nimekuelewa vizuri
 
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo

Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?

Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali [emoji120]
Ni yile single mother wako mwenye watoto wanne mkuu?
 
Back
Top Bottom