Je, kama mgombea urais akafariki dunia kabla ya uchaguzi kufanyika, utaratibu unasemaje?

Je, kama mgombea urais akafariki dunia kabla ya uchaguzi kufanyika, utaratibu unasemaje?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,956
Reaction score
47,046
Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..

Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
 
Kama wameshapitishwa na INEC basi uchaguzi utaendelea kama kawaida kwa waliobaki.
Mch. Mtikila akiwa presidential candidate alifariki kipindi cha kampen bila shaka, haikusogezwa hata siku moja na uchaguzi ukafanyika.
 
tuna Rais na mgombea uRais aliyetekwa na wahuni ni mateka.

tusikubali waTanganyika
 
Back
Top Bottom