Je, kama mgombea urais akafariki dunia kabla ya uchaguzi kufanyika, utaratibu unasemaje?

Je, kama mgombea urais akafariki dunia kabla ya uchaguzi kufanyika, utaratibu unasemaje?

Wew jamaa nilikuwa nakuona uko smart kumbe chenga tu!!mbona suala kama hili lilishawahi tokea uchaguzi wa 2010
 
Naona watu wamejaribu kuandika vitu vingi
Ila fact ni kwamba.

MWaka 2005 Uchaguzi ulipangwa kufanyika october 30 2005 ulihairishwa mpka december 18 2005.
Baada ya aliyekuwa mgombea mwenza kupitia chama cha Chadema kufariki dunia.
Alifariki October 26 2005. Hospitali ya Hindu Mandal Dar ea Salaam.

Kesho yake tume ya uchaguzi ilikaa na kuamua kusogeza uchaguzi mbele kwa siku 21.
Kampeni zilisitishwa kuwapa muda Chadema kuchagua mgombea mwenza mwingine.
Hayo yalifanyika kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi.
 
Umetuma elimu nzuri mkuu

Umu wengine hiyo 20 years ago walikua vidudu😀😀
 
Octoba wananchi wote wanatiki, nyie endeleeni na kesi yenu huko mahakamani.
Mtacheza nayo hadi 2030
 
Kwa mwenendo wa sasa wa uvamizi na kuvuruga mambo nashauri raia wazalendo tuwahi ikulu kama ishara ya mamlaka kamili na kurudishwa kwa raia na hivyo basi taaisis zote zitakuwa zinajibu kwa raia waliopo ikulu.

Na kitendo chochote cha kuwazuia ni kuingilia serikali mpya ya raia ambayo haitakiwi kupigiwa kura bali mamlaka ya kijamuhuri.

Tukirudi sasa kwenye maamuzi,raia tutaamrisha tume ya katiba ianze kazi yake maramoja na ndani ya wiki chapisho la rasimu ya katiba mpya liwe limeshapitishwa na kuipitisha haraka sana tayari kwa matumizi.

Tutaunda jamuhuri mpya. Chama cha mapinduzi kitabatilishwa kama cha siasa za ukombozi na kupewa hadhi kinachostahili ya chama cha ugaidi kama vile Boko Haram na Al Qaeda. Na tutahakikisha kinafutwa kabisa katika uso wa inchi hata wajukuu wasije kusikia habari zake. Na siku hiyo itatambulishwa rasmi kuwa siku ya uhuru wa kweli wa kitaifa kutoka kwa mkoloni CCM.

Then raia tutaingia katika uchaguzi mkuu na kuchagua viongozi tunaotaka kwa mujibu wa masharti ya katiba yetu mpya na tutaanza rasmi kuisimamia Serikali yetu wenyewe na kutekeleza adhabu kwa yoyote atake kiuka sheria aidha rushwa,wizi,ufisadi au siasa za utapeli kama za sasa.

Inchi itaanza kupiga hatua natutaanza kuona maendeleo kwa kasi ya ajabu sana.
 
Kama wameshapitishwa na INEC basi uchaguzi utaendelea kama kawaida kwa waliobaki.
Mch. Mtikila akiwa presidential candidate alifariki kipindi cha kampen bila shaka, haikusogezwa hata siku moja na uchaguzi ukafanyika.
Hata kama ikiwa ni mgombea wa Chama kikubwa ambacho kingeweza kutoa Rais?! , uchaguzi bado utaendelea.., r u sure?!
 
Back
Top Bottom