Ikitokea kwa chama kikuu italeta mjadala na hayo ya Mtikila yataamshwaKama wameshapitishwa na INEC basi uchaguzi utaendelea kama kawaida kwa waliobaki.
Mch. Mtikila akiwa presidential candidate alifariki kipindi cha kampen bila shaka, haikusogezwa hata siku moja na uchaguzi ukafanyika.